Serikali iweke wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo mwaka 2021

Serikali iweke wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo mwaka 2021

Maswala ya kitumishi ni siri.

Kama kuna mtumishi ataachwa ipo nafasi ya malalamiko.

Na kila mtumishi anajua kama anastahili kupanda ama la.
Usiri ndio unatumika kukandamiza haki za watumishi kwenye baadhi ya taasisi hivyo kuna umuhimu wa kuangalia ni nini kinastahili kuwa siri na nini hakistahili.
 
Kwenye ila barua ya Katibu Mkuu Utumishi waliweka wazi kuwa mtumishi anatakiwa awe ametumika cheo cha awali walau miaka 4 kabla ya kuweza kupandishwa cheo.

Nakumbuka mwanzoni ilikuwa ni miaka 3, ila utawala wa Magufuli usiopenda watumishi, ukaongeza mpaka miaka hiyo minne inayotumika sasa.

Anyway,kama usemalo ni la kweli, basi Mama atakuwa anajitahidi sana kutendea haki watumishi katika uongozi wake tofauti na wakati wa Magufuli.
Hakuna kitu hapa, hicho ndiyo atakuwa anatumia Kama kigezo Cha kutopandisha watu mishahara. Sifa zipi hizo wanazomaanisha. Kwa nini wasirudishe kigezo Cha miaka mitatu.
 
Back
Top Bottom