Kwenye ila barua ya Katibu Mkuu Utumishi waliweka wazi kuwa mtumishi anatakiwa awe ametumika cheo cha awali walau miaka 4 kabla ya kuweza kupandishwa cheo.
Nakumbuka mwanzoni ilikuwa ni miaka 3, ila utawala wa Magufuli usiopenda watumishi, ukaongeza mpaka miaka hiyo minne inayotumika sasa.
Anyway,kama usemalo ni la kweli, basi Mama atakuwa anajitahidi sana kutendea haki watumishi katika uongozi wake tofauti na wakati wa Magufuli.