Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hapo wa kufuta ni utopolo msaliti wa taifa mapokezi fc.Hana masada wowote ktk soka la Tz zaidi ya kujipendekeza kwa timu pinzani za vilabu vya nchi hii huku yeye kila akiwekamo pua kwenye mashindano ya CAF ni kupigwa miko na kumwagiwa ndani na nje.Kama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza
Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango
MUDA UMEFIKA TUZIFUTE SIMBA NA YANGA TUENDELEE KISOKA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja , simba na yanga ni ujinga mtupuKama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza
Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango
MUDA UMEFIKA TUZIFUTE SIMBA NA YANGA TUENDELEE KISOKA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
NakaziaKama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza
Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango
MUDA UMEFIKA TUZIFUTE SIMBA NA YANGA TUENDELEE KISOKA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama Madrid na Barca tofauti viwanjaKweli kabisa ukiangalia Asec au Berkane na wengineo unakuta karibia first eleven yote ni wazawa na bado wanacheza mpira mzuri tuu, Simba na Yanga zimejaza maforeigner watupu alafu tunataka tuwe na timu ya taifa nzuri!!
Una uwezo hata wa kuanzisha timu ya Bao? Mkilewa Uraka mnadhani kila kitu ni rahisi kufanya?Kama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza
Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango
MUDA UMEFIKA TUZIFUTE SIMBA NA YANGA TUENDELEE KISOKA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu hao Asec memosas wanatoka Ivory cost na timu ya taifa ya ivory cost 98% wachezaji wake wanatoka europeKweli kabisa ukiangalia Asec au Berkane na wengineo unakuta karibia first eleven yote ni wazawa na bado wanacheza mpira mzuri tuu, Simba na Yanga zimejaza maforeigner watupu alafu tunataka tuwe na timu ya taifa nzuri!!
Hizo timu ulizozitaja kwenye first 11 utakuta kuna wazawa wanne tuKama Madrid na Barca tofauti viwanja
Kama YangaHizo timu ulizozitaja kwenye first 11 utakuta kuna wazawa wanne tu