Serikali izifute Simba na Yanga, hatujachelewa

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Kama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza

Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango

MUDA UMEFIKA TUZIFUTE SIMBA NA YANGA TUENDELEE KISOKA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hapo wa kufuta ni utopolo msaliti wa taifa mapokezi fc.Hana masada wowote ktk soka la Tz zaidi ya kujipendekeza kwa timu pinzani za vilabu vya nchi hii huku yeye kila akiwekamo pua kwenye mashindano ya CAF ni kupigwa miko na kumwagiwa ndani na nje.
 
Kama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza

Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango

MUDA UMEFIKA TUZIFUTE SIMBA NA YANGA TUENDELEE KISOKA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja , simba na yanga ni ujinga mtupu
 
Naomba mfano wa nchi moja iliyowahi kufuta club kwa ajiri ya timu yake ya Taifa.

Mimi ninavyojua vilabu hivi havina makosa na vinamchango mkubwa sana kwa Taifa Stars. Shida ipo kwa viongozi wako wachunguze vizuri utakuja kunishukuru hapa
 
Kolokoloni fc a.k.a wazee wa chupli chupli wapigwe ban ya milele azam anatosha kuvaa viatu vyao
 
Kweli kabisa ukiangalia Asec au Berkane na wengineo unakuta karibia first eleven yote ni wazawa na bado wanacheza mpira mzuri tuu, Simba na Yanga zimejaza maforeigner watupu alafu tunataka tuwe na timu ya taifa nzuri!!
 
Kama Madrid na Barca tofauti viwanja
 
Kama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza

Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango

MUDA UMEFIKA TUZIFUTE SIMBA NA YANGA TUENDELEE KISOKA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Una uwezo hata wa kuanzisha timu ya Bao? Mkilewa Uraka mnadhani kila kitu ni rahisi kufanya?
 
Kweli kabisa ukiangalia Asec au Berkane na wengineo unakuta karibia first eleven yote ni wazawa na bado wanacheza mpira mzuri tuu, Simba na Yanga zimejaza maforeigner watupu alafu tunataka tuwe na timu ya taifa nzuri!!
Mkuu hao Asec memosas wanatoka Ivory cost na timu ya taifa ya ivory cost 98% wachezaji wake wanatoka europe
 
Ukitaka kujifariji tafuta wa kumlaumu, naona Simba na Yanga zinafanya kazi hiyo vizuri sana.....
Mbuzi wa kafara.
Nchi ambayo haina academy za kueleweka, haina makocha wa kueleweka, wanafundishwa na makocha kutoka nchi nyingine ndogo ( Burundi),
nchi ambayo mpira unachezwa na watukutu ambao hawapendi shule,
Nchi ambayo haina marefa wa kueleweka.
Nchi ambayo viwanja vizuri vipo Dar tu ( vya kimataifa) ukiondoa cha Mwanza.
Nchi ambayo team zake zinashindwa kusafiri kwa kukosa nauli........
Na mauchafu mengi kama hayo.

Lakini hii ni Nchi ambayo baadhi ya watu wanaona kuwa ili iendelee inatakiwa Vilabu vinavyoleta walau Nafuu ya mpira wa Tanzania vifutwe.
Tatueni matatizo yenu, Msianze kukimbia matatizo yenu kwa kuwapakaza watu kuwa ndio chanzo.

Walivyo waajabu kila wakiambiwa watoe suluhu, utaskia tumeteua shule hamsini hizi zitakuwa za michezo tu.😂😂😂.
Ukitafakari unacheka, unaishia kujisemea moyoni kama hawajui nini mpira wa Tanzania unahitaji wangetuomba Ushauri hata sisi wadau wa kawaida.
 
Kama unafikiri kuanzisha timu ikawa kama Simba na yanga ni rahisi!!!!, hebu anzisha timu yako afu ndio zifutwe hizo.
 
Back
Top Bottom