[emoji848][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ili kupata kichechesho kingine kama hiki, bonyeza *j*a*f*o#.....[emoji1787][emoji1787]
Mmmmmhhh ngoja tuoneDeadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia.
====
"Taasisi zote za Umma na Binafsi zinazopika chakula cha zaidi ya watu 100 itakapofika Januari 31,2024 taasisi hizo zinatakiwa kusititisha matumizi ya kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia, lakini taasisi zile ambazo zina watu zaidi ya 300 itakapofika Januari 31, 2025 zisitishe matumizi ya kuni na mkaa watumie nishati mbadala" - Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).
Hii nchi inavichekesho vya kila rangi walahi...😂[emoji848][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Soma uzi vizuri boss. Ni taasis za ummaKwahivyo ule ubwabwa wenye ukoko wa juu wa mkaa tutausikia kwenye simulizi tu?
Na vipi kuhusu BBQ? tutachomaje nyama za mbuzi ili kufurahi na wageni wetu nyumbani?
Serikali iache ukatili kwa raia wake
Hivi mnasoma uzi kweli au mnaishia kusoma vichwa vya habari tuuHizi ni hadithi za alinacha! Labda wakazi wa mijini wataacha kutumia mkaa watumie gesi, na hiyo gesi bei ishuke. Huko ndani vijijini umeme wenyewe haujafika gesi itafikaje? Hizi siasa ni hesabu za propability
hasa mashule ni wakati sasa zianze kufundisha somo la Agriculture huku wakiwa na mitamba ya kuzalisha biogasDeadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia.
====
"Taasisi zote za Umma na Binafsi zinazopika chakula cha zaidi ya watu 100 itakapofika Januari 31,2024 taasisi hizo zinatakiwa kusititisha matumizi ya kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia, lakini taasisi zile ambazo zina watu zaidi ya 300 itakapofika Januari 31, 2025 zisitishe matumizi ya kuni na mkaa watumie nishati mbadala" - Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).
Dadeki wanapooza CAG reports na wanajua Mei mosi inakuja na hawana hata buku la kuwaongeza watumishiDeadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia.
====
"Taasisi zote za Umma na Binafsi zinazopika chakula cha zaidi ya watu 100 itakapofika Januari 31,2024 taasisi hizo zinatakiwa kusititisha matumizi ya kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia, lakini taasisi zile ambazo zina watu zaidi ya 300 itakapofika Januari 31, 2025 zisitishe matumizi ya kuni na mkaa watumie nishati mbadala" - Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).
Kuna familia nyingi sana vijijini hata uwezo wa kununua hilo jiko la gesi hawanaLabda watashusha bei ya Gas na umeme iwe sawa na sifuri ndipo wasitishe matumizi vinginevyo badamu batamwagika
Jafo ni tapeli kama matapeli wengineAnatokea mtu mmoja kutoka kisarawe anatutangazia eti kutumia kuni na mkaa sasa basi.
Unawakejeli wananchi masikini ili upate nini hasa ?
Maana tayari wewe ni billion bilionea kwa kuwepo hapo bungeni na kwenye wizara.
Unaudharau kisa umasikini wetu? Hiyo kupata mlo wangu wa siku nashindwa leo unakejeli kuwa nisahau kutumia kuni?
Muonage aibu basi hata kama ni kuuza sura.View attachment 2585444