wasichogundua wasanii wengi pamoja na wewe kwanini wanazipenda ni urudiaji wa maneno coz nimafupi mafupi na ni rahisi mtu kuyanakili na anachokosea profesa ni kurudisha kizaz kwenye enzi zake alizokulia yeyeZuchu hawezi kuharibu kizazi utamsingizia tu. Zuchu anaimba nyimbo za mapenzi target market yake ni watu wazima lakini watoto wanatokea kuzipenda. Lazima tuangalie kwa nini wanazipenda, au unafikiri wanavutiwa na mashairi?
Vipi danguro lako limevunjwa ?NAKAZIA
Mwingine ni huyu mkuu wa mkoa wa Dar Chalamila
we kafiche upumbavu wako huo,Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.
Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.
Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo za Zuchu ni kama national anthems kwa watoto wadogo, sio hii Honey tu, karibu zote kuanzia Sukari, Kwikwi nk.
Watoto wanaziimba mstari wa kwanza mpaka wa mwisho ni mpaka Kenya uko. Ipo sababu maana hakuna anaekaa chini akawafundisha nchi nzima watoto kuimba nyimbo za Zuchu. Why only Zuchu? Ni swali la kujiuliza.
Wizara ya elimu inaongozwa na professor ambae pia ndio aliotoa tamko la kushusha vyeo walimu.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanacheza na kuimba kwa furaha wimbo huo angefanya critical thinking na kutafuta sababu kwa nini watoto wamevutiwa na huo wimbo ila yeye katika fikra zake aliona suluhu la kuzuia wimbo wa namna hiyo ni kuvua vyeo walimu. Baada ya hapo? Hawezi fikiri zaidi.
Tuna aina hiyo ya maprofesa kwenye nchi yetu wanachoweza ni kuvaa suti na kutishia watu vyeti.
Hakuna professor wa kitanzania aliyegundua formula wala model au falsfa au item ikasaidia watanzania wao wanachoweza ni kukariri vya wenzao kwa level kubwa na kufaulu mitihani.
Nchi za wenzetu kwa sasa wametoka kwenye ufundishaji wa kumezesha watoto. Mwalimu anakaa mbele anaimba aaaa eeee iiii oooo uuuu wenzetu washatoka uko, wapo kwenye learning through play.
Mtoto anajifunza kwa michezo na nyimbo. Darasa linajaa makolokolo ya kuchezea na kuimba mwanzo mwisho madaftari yanaguswa kidogo sana. Sio kama uku katoto ka lower primary unakuta kana begi kuuubwa kanaenda kumezeshwa shuleni spoon feeding ubongo hauchangamki hajifunzi kuadapt mambo mapya.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanainjoi wimbo angeanzia hapo kutazama ni namna gani mtaala wetu unaweza ingiza kujifunza kwa kutumia nyimbo zenye maudhui ya Zuchu.
Mnaweza kukaa nae mkapata moja mbili kwanini nyimbo zake ni addictive kwa watoto. Tuna waimbaji wengi ila kwa nini yeye anakubalika na watoto ndivyo watu walioendelea wanavyofanya innovations.
Ubaya wetu waswahili siku zote tunawaza kubomoa badala ya kujenga.
Hakuna mwalimu wala mzazi anaweza mzuia mtoto kuimba nyimbo za Zuchu hakuna. Hawa watoto hakuna anaewafundisha kuziimba mtatafuta watu ubaya bure maana huwezi niambia mtoto wa miaka 2 kafundishwa ni ubongo wake umeweza ku-catch wenyewe.
Wasomi uko serikalini kaeni na Zuchu awasaidie. Kwa sasa mmebadili mtaala ila kama mindset ndio hizi zinazosimamia elimu hakuna kitachobadilika kwenye elimu yetu.
Msipende kujificha kwenye kichaka cha maadili tumieni maarifa. Hamkuwa maprofesa ili mfanye kazi kwa mfumo wa kipolisi.
Weekend njema!
Unajua mkuu malaya ni viumbe muhimu sana kwenye miji na majiji makubwaVipi danguro lako limevunjwa ?
Serikali ikae chini na muhalifu ambaye anastahiki kuwa kafungiwa kufanya mziki?Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.
Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.
Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo za Zuchu ni kama national anthems kwa watoto wadogo, sio hii Honey tu, karibu zote kuanzia Sukari, Kwikwi nk.
Watoto wanaziimba mstari wa kwanza mpaka wa mwisho ni mpaka Kenya uko. Ipo sababu maana hakuna anaekaa chini akawafundisha nchi nzima watoto kuimba nyimbo za Zuchu. Why only Zuchu? Ni swali la kujiuliza.
Wizara ya elimu inaongozwa na professor ambae pia ndio aliotoa tamko la kushusha vyeo walimu.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanacheza na kuimba kwa furaha wimbo huo angefanya critical thinking na kutafuta sababu kwa nini watoto wamevutiwa na huo wimbo ila yeye katika fikra zake aliona suluhu la kuzuia wimbo wa namna hiyo ni kuvua vyeo walimu. Baada ya hapo? Hawezi fikiri zaidi.
Tuna aina hiyo ya maprofesa kwenye nchi yetu wanachoweza ni kuvaa suti na kutishia watu vyeti.
Hakuna professor wa kitanzania aliyegundua formula wala model au falsfa au item ikasaidia watanzania wao wanachoweza ni kukariri vya wenzao kwa level kubwa na kufaulu mitihani.
Nchi za wenzetu kwa sasa wametoka kwenye ufundishaji wa kumezesha watoto. Mwalimu anakaa mbele anaimba aaaa eeee iiii oooo uuuu wenzetu washatoka uko, wapo kwenye learning through play.
Mtoto anajifunza kwa michezo na nyimbo. Darasa linajaa makolokolo ya kuchezea na kuimba mwanzo mwisho madaftari yanaguswa kidogo sana. Sio kama uku katoto ka lower primary unakuta kana begi kuuubwa kanaenda kumezeshwa shuleni spoon feeding ubongo hauchangamki hajifunzi kuadapt mambo mapya.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanainjoi wimbo angeanzia hapo kutazama ni namna gani mtaala wetu unaweza ingiza kujifunza kwa kutumia nyimbo zenye maudhui ya Zuchu.
Mnaweza kukaa nae mkapata moja mbili kwanini nyimbo zake ni addictive kwa watoto. Tuna waimbaji wengi ila kwa nini yeye anakubalika na watoto ndivyo watu walioendelea wanavyofanya innovations.
Ubaya wetu waswahili siku zote tunawaza kubomoa badala ya kujenga.
Hakuna mwalimu wala mzazi anaweza mzuia mtoto kuimba nyimbo za Zuchu hakuna. Hawa watoto hakuna anaewafundisha kuziimba mtatafuta watu ubaya bure maana huwezi niambia mtoto wa miaka 2 kafundishwa ni ubongo wake umeweza ku-catch wenyewe.
Wasomi uko serikalini kaeni na Zuchu awasaidie. Kwa sasa mmebadili mtaala ila kama mindset ndio hizi zinazosimamia elimu hakuna kitachobadilika kwenye elimu yetu.
Msipende kujificha kwenye kichaka cha maadili tumieni maarifa. Hamkuwa maprofesa ili mfanye kazi kwa mfumo wa kipolisi.
Weekend njema!
nashanga kwanini dunia inakuwa na watu wapumbavu km wewe? Unajua maana ya "honey" ktk ule wimbo. Msiwaletee watoto wetu huo ushetani wenu, mtu km Zuchu ambaye kwa ujumla maadili yake ni ya hovyo atawafundisha nini watoto wetu zaidi ya kuwaharibu na kuwafanya wahunu km yeye? We huna unachojua kuhusu elimu kaa kimya.Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.
Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.
Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo za Zuchu ni kama national anthems kwa watoto wadogo, sio hii Honey tu, karibu zote kuanzia Sukari, Kwikwi nk.
Watoto wanaziimba mstari wa kwanza mpaka wa mwisho ni mpaka Kenya uko. Ipo sababu maana hakuna anaekaa chini akawafundisha nchi nzima watoto kuimba nyimbo za Zuchu. Why only Zuchu? Ni swali la kujiuliza.
Wizara ya elimu inaongozwa na professor ambae pia ndio aliotoa tamko la kushusha vyeo walimu.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanacheza na kuimba kwa furaha wimbo huo angefanya critical thinking na kutafuta sababu kwa nini watoto wamevutiwa na huo wimbo ila yeye katika fikra zake aliona suluhu la kuzuia wimbo wa namna hiyo ni kuvua vyeo walimu. Baada ya hapo? Hawezi fikiri zaidi.
Tuna aina hiyo ya maprofesa kwenye nchi yetu wanachoweza ni kuvaa suti na kutishia watu vyeti.
Hakuna professor wa kitanzania aliyegundua formula wala model au falsfa au item ikasaidia watanzania wao wanachoweza ni kukariri vya wenzao kwa level kubwa na kufaulu mitihani.
Nchi za wenzetu kwa sasa wametoka kwenye ufundishaji wa kumezesha watoto. Mwalimu anakaa mbele anaimba aaaa eeee iiii oooo uuuu wenzetu washatoka uko, wapo kwenye learning through play.
Mtoto anajifunza kwa michezo na nyimbo. Darasa linajaa makolokolo ya kuchezea na kuimba mwanzo mwisho madaftari yanaguswa kidogo sana. Sio kama uku katoto ka lower primary unakuta kana begi kuuubwa kanaenda kumezeshwa shuleni spoon feeding ubongo hauchangamki hajifunzi kuadapt mambo mapya.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanainjoi wimbo angeanzia hapo kutazama ni namna gani mtaala wetu unaweza ingiza kujifunza kwa kutumia nyimbo zenye maudhui ya Zuchu.
Mnaweza kukaa nae mkapata moja mbili kwanini nyimbo zake ni addictive kwa watoto. Tuna waimbaji wengi ila kwa nini yeye anakubalika na watoto ndivyo watu walioendelea wanavyofanya innovations.
Ubaya wetu waswahili siku zote tunawaza kubomoa badala ya kujenga.
Hakuna mwalimu wala mzazi anaweza mzuia mtoto kuimba nyimbo za Zuchu hakuna. Hawa watoto hakuna anaewafundisha kuziimba mtatafuta watu ubaya bure maana huwezi niambia mtoto wa miaka 2 kafundishwa ni ubongo wake umeweza ku-catch wenyewe.
Wasomi uko serikalini kaeni na Zuchu awasaidie. Kwa sasa mmebadili mtaala ila kama mindset ndio hizi zinazosimamia elimu hakuna kitachobadilika kwenye elimu yetu.
Msipende kujificha kwenye kichaka cha maadili tumieni maarifa. Hamkuwa maprofesa ili mfanye kazi kwa mfumo wa kipolisi.
Weekend njema!
Dkt Gwajima sio PhD holder ila ni Daktari wa Binadamu na aliwahi kutibu na kufanya kazi kma Mganga mkuu wa wilaya kadhaa na wa mikoa kadhaa kabla hajawa wizara ya Afya ...PhD za mchongo mchongo yaani za kukariri...
You are right sir.Dkt Gwajima sio PhD holder ila ni Daktari wa Binadamu na aliwahi kutibu na kufanya kazi kma Mganga mkuu wa wilaya kadhaa na wa mikoa kadhaa kabla hajawa wizara ya Afya ...
Safi san umeongea Vyote labda kama tunatKa kutengeneza Batch ya Watu wasio na maadili sawaUnaona ulivyo mjinga. Umalaya wa Zuchu ndiyo coding? Kukata mauno ni coding? Hakuna mtu anayeupinga mfumo wa elimu wa Tanania kama mimi lakini hatuwezi kuuboresha kwa ku-sub contract kwa machangudoa watusaidie. Watoto kuimba na kucheza nyimbo zake ndiyo kuonyesha ni mtaalam? Ficha ujinga wako. Mtoto ukimzoesha mambo ya kijinga atazoea na kuona ndiyo ya maana. Na mimi sipingi watoto kufurahi na kuimba ila napinga vitu wanavyojifunza kwenye hizo nyimbo. Sijawahi kuona mtu mwenye mawazo mgando kama wewe. Nimeishi nchi zilizo na mifumo bora kabisa ya elimu kwa watoto na naelewa nachosema.
Mkuu kubali umeteleza kwa kutaja kuwa serikali ikae na zuchu ungeweza kupropose aina nyingine ya watu au vitu tungekuelewa..Najua hauna ubongo wakuweza kuchakata nilichokindika. Ungekuwa na nia ya kujifunza ningekuelewsha ni namna gani watu walioendelea wana design mitaala yao.
Ila kwa kuwa unatumia style ya kuchamba hayo mambo nimewaachia nyie mademu mimi siwezi kusutana.
Wale familia yote hakuna kitu hawana maadiliZuchu huyu ambaye ana kakaake marehemu Omari kopa na mama yake khadija akawafundishe wanangu?
Tafadhali we jamaa embu punguza ujinga kidogo.
Labda km kuna somo la kuliwa mitaro.
Maana shule km shule huyo zuchu hana.
Ni kweli Zuchu anasauti kama mtoto mwenzao. Katoto kanaweza pia kutumia sauti kali kali kama Zuchu tu. Pia uvaaji na alivyojiwekaweka marangirangi.Mtoto ana mwaka mmoja anakaa anamsikiza Zuchu na anafatisha anachoimba. Nchi za wenye akili wanaanzia hapo kufikiria. Ila waswahili Mungu aliwanyima maarifa sio kosa lenu.
Nafikir WBC wakilitokea tamko itapendeza zaid kuliko ZuchuNaaamini huyo Mkenda anaweza kumskiliza Zuchu kuliko hao walimu.Rai yangu Kwa Zuchu nenda ukawaombee msamaha walimu wetu kwani mashairi yako ndiyo yamekuwa mateso ya walimu.
Ikikupendeza zaidi Zuchu huko uliko utoe basi na wewe kauli yako juu ya jambo hili kuliko kunyamaza kimya.
Binafsi huwa naiunga mkono sana Serikali na maamuzi yake mbalimbali. Lakini katika suala la kuwavua Ualimu Mkuu walimu kisa watoto kuimba na kuchezea wimbo wa Zuchu tena wakiimba na kucheza na walimu wao, nasema HAPANA!!Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.
Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.
Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo za Zuchu ni kama national anthems kwa watoto wadogo, sio hii Honey tu, karibu zote kuanzia Sukari, Kwikwi nk.
Watoto wanaziimba mstari wa kwanza mpaka wa mwisho ni mpaka Kenya uko. Ipo sababu maana hakuna anaekaa chini akawafundisha nchi nzima watoto kuimba nyimbo za Zuchu. Why only Zuchu? Ni swali la kujiuliza.
Wizara ya elimu inaongozwa na professor ambae pia ndio aliotoa tamko la kushusha vyeo walimu.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanacheza na kuimba kwa furaha wimbo huo angefanya critical thinking na kutafuta sababu kwa nini watoto wamevutiwa na huo wimbo ila yeye katika fikra zake aliona suluhu la kuzuia wimbo wa namna hiyo ni kuvua vyeo walimu. Baada ya hapo? Hawezi fikiri zaidi.
Tuna aina hiyo ya maprofesa kwenye nchi yetu wanachoweza ni kuvaa suti na kutishia watu vyeti.
Hakuna professor wa kitanzania aliyegundua formula wala model au falsfa au item ikasaidia watanzania wao wanachoweza ni kukariri vya wenzao kwa level kubwa na kufaulu mitihani.
Nchi za wenzetu kwa sasa wametoka kwenye ufundishaji wa kumezesha watoto. Mwalimu anakaa mbele anaimba aaaa eeee iiii oooo uuuu wenzetu washatoka uko, wapo kwenye learning through play.
Mtoto anajifunza kwa michezo na nyimbo. Darasa linajaa makolokolo ya kuchezea na kuimba mwanzo mwisho madaftari yanaguswa kidogo sana. Sio kama uku katoto ka lower primary unakuta kana begi kuuubwa kanaenda kumezeshwa shuleni spoon feeding ubongo hauchangamki hajifunzi kuadapt mambo mapya.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanainjoi wimbo angeanzia hapo kutazama ni namna gani mtaala wetu unaweza ingiza kujifunza kwa kutumia nyimbo zenye maudhui ya Zuchu.
Mnaweza kukaa nae mkapata moja mbili kwanini nyimbo zake ni addictive kwa watoto. Tuna waimbaji wengi ila kwa nini yeye anakubalika na watoto ndivyo watu walioendelea wanavyofanya innovations.
Ubaya wetu waswahili siku zote tunawaza kubomoa badala ya kujenga.
Hakuna mwalimu wala mzazi anaweza mzuia mtoto kuimba nyimbo za Zuchu hakuna. Hawa watoto hakuna anaewafundisha kuziimba mtatafuta watu ubaya bure maana huwezi niambia mtoto wa miaka 2 kafundishwa ni ubongo wake umeweza ku-catch wenyewe.
Wasomi uko serikalini kaeni na Zuchu awasaidie. Kwa sasa mmebadili mtaala ila kama mindset ndio hizi zinazosimamia elimu hakuna kitachobadilika kwenye elimu yetu.
Msipende kujificha kwenye kichaka cha maadili tumieni maarifa. Hamkuwa maprofesa ili mfanye kazi kwa mfumo wa kipolisi.
Weekend njema!
'waalim wazuri wenye utalaam', nawe umahili wako ni huu!Elimu inaboreshwa kwa serikali kuwa na mfumo mzuri, shule nzuri na waalim wazuri wenye utalaam wa kufundisha na siyo kuwapa machangudoa hiyo kazi. Jinsi ulivyoshindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili, inaakisi ulivyo mtupu kichwani.