Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hili mkenda kaonesha alivyo mweupe kichwani, ni uamuzi wa ajabu sana kauchukua,
Hao walimu warudishiwe vyeo vyao tu
Au kama vp huyo Zuhura apewe kabisa uwaziri kiishe
Elimu inaboreshwa kwa serikali kuwa na mfumo mzuri, shule nzuri na waalim wazuri wenye utalaam wa kufundisha na siyo kuwapa machangudoa hiyo kazi. Jinsi ulivyoshindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili, inaakisi ulivyo mtupu kichwani.
Ni uamuzi mzuri sana amefanya.
Kusema watoto wadogo wanaozipenda nyimbo za zuchu kuwa sababu ni maudhui (content)ni uongo.
There is something special in art she has to be loved to that extent.
Lipo jambo ila sio zuchu ambae anaelekea kuharibu kizazi,
PhD za mchongo mchongo yaani za kukariri...
Kabisa vilaza hawa
Mbona kwenye mikutano ya ccm wapo!!?Vilaza kwenye Nini?. Kuwachukulia walimu wakuu hatua kwa kuruhusu nyimbo za mapenzi kwa watoto wadogo Kama wale?. Yani mwalimu mkuu anaimba Honey na mwanafunzi wake? Tena basi watoto wenyewe wadogo.
Hao akina Zuchu ndo role models wa hawa watoto, wanaona wanatoboa huku wasomi na madigrii yao wanahangaika na bahasha za khaki mitaani miaka nenda rudi.
Elimu ni teaching and learning, ukifeli hapo hakuna elimu. Wenzetu wanafundisha watoto coding kuanzia lower grades uku kumejaa watu wanaofikiri kama wewe unapiga marufuku watoto kugusa devices kuwa wataharibu.
Zuchu kwako ni changudoa ila watoto wanaimba na kucheza nyimbo zake. Jifunze kufanya analysis ya kila information unayokutana nayo itakusaidia sana hata kulea watoto wako.
Siyo wote, rejea desa.Unatukana wenye degree kwa sababu ya baadhi wasio na ajira?. Mbona Marais wa nchi ya Tanzania wote walikuwa na degree?. Halafu sio kila msanii ana Hali nzuri ni baadhi yao tu.
Kwa sasa kapoteza credibility ya kioo cha jamii mwanzoni kweli alikuwa nayo ila kwa sasa nyimbo zake zinasikilizwa mbali ma watoto...Kwani Zuchu ana ubaya gani?
Ndio maprofesa wa kitanzania, huwezi watofautisha sana na wasioenda shuleni.
Sema nini kuna kitu special huyu binti Zuchu anacho ambacho watoto wanapendezwa na nyimbo zake.
Kwa kweli watoto wana ziimba sana mpaka inashangaza.
Atoe wimbo mmoja mzuri wa kitoto wa kuhesabu au kusoma nafikiri utavunja rekodi hasa kwa watoto.
Jamaa huyu anajua kuropoka tu ila kichwani ni zero brain! Kahaba ataboresha kipi kwenye shule zetu?Elimu inaboreshwa kwa serikali kuwa na mfumo mzuri, shule nzuri na waalim wazuri wenye utalaam wa kufundisha na siyo kuwapa machangudoa hiyo kazi. Jinsi ulivyoshindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili, inaakisi ulivyo mtupu kichwani.
Alafu depal unatafuta Salam zako kwani ujapewa😂😂😂kitu goloNa mpenzi wangu Honeyyy
Simuoni tafraniii
Namwita Honey haonekani
Honeyyyyyyyy
Honeyyyyyyyyyy
Honeyeeeee
Aah Honeyeeee
Nakupendaaaaaa
Honey we unanitesaaa
Basi inatoshaaa
Kivumbi leooo 😂😂
[emoji1787][emoji23]Khadija Kopa kitulize mbona una haraka??