Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

Sema nini kuna kitu special huyu binti Zuchu anacho ambacho watoto wanapendezwa na nyimbo zake.

Kwa kweli watoto wana ziimba sana mpaka inashangaza.

Atoe wimbo mmoja mzuri wa kitoto wa kuhesabu au kusoma nafikiri utavunja rekodi hasa kwa watoto.
Akitoa huo wimbo hautapendwa!
Watoto hawawezi kuvutiwa na wimbo ambao haupewi promo na watu wazima, especially wamama na wadada!


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom