Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

Warudishwe haraka ualimu mkuu. Huyo Mkenda sijui makende ni kiazi mmoja. Prof uchwara akibananishwa na wazungu atabaki yu noo zee zee mazafaka mkubwa.
 
wasichogundua wasanii wengi pamoja na wewe kwanini wanazipenda ni urudiaji wa maneno coz nimafupi mafupi na ni rahisi mtu kuyanakili na anachokosea profesa ni kurudisha kizaz kwenye enzi zake alizokulia yeye
Kizazi cha enzi zake kimefanya nini jipya kwenye hii nchi?
 
Kwani Zuchu ana ubaya gani?
 
Una akili nyingi, exposure na uwezo wa kuanalyze issues. Bahati mbaya ni wachche mno wanaweza elewa ulichoandika.
 
Nilikuwa kijiji kimoja ndani kabisa nikasikiliza watoto wadogo hata elimu ya awali hawajaanza wanaimba sagarumba
 
Nilikuwa kijiji kimoja ndani kabisa nikasikiliza watoto wadogo hata elimu ya awali hawajaanza wanaimba sagarumba
Hiyo ni nguvu ya sanaa anayoweza ifanya huyu binti. Nguvu hiyo inaweza tumika kutengeneza content za kutumika mashuleni kufundishia.
Hakuna professor anaweza design hiyo art ya kupendwa na watoto, hiyo kitu ni inborn. Watasoma wamalize madarasa.
 
Serikali ingeacha watu wafanye wanavyotaka , hata kuimba uchi. Maana hicho ni kizazi Cha nyoka ukisema usimamie maadili utatukanwa mpaka ufe. Serikali iache watu wafanye wanayojisikia ila mwisho wa matokeo tutayaona vizazi vijavyo.
 
kwa hiyo wewe kwa akili zako kati yako na zuchu (unayemuita changudoa ) nani anawainspire zaidi vijana na watoto hapa africa mashariki? kichwa maji wewe!

Kuispire kwenye nini?. Kuimba ngono?. Hata makahaba maarufu Kama Amber Rutty wanaispire watoto. Umesahau alienda shule moja kengele ikagongwa wanafunzi waote wakamsikilize?. Tukubali tu kwamba kwa kizazi hichi maadili hakuna na ukisimamia maadili utatukanwa mpaka basi.
 
Hapo kujibu mapigo zuchu aongee na tajiri yake dangote washirikiane kufungua International school na iwe na masomo ya mziki hao walimu wapewe kipaumbele maana hao maprofesa hawajui kama muziki ni ajira ningekuwa boss wao sa hizi wao ndio wangekuwa nyumbani sio tu kuwashusha vyeo
 
Mtoto anabidi kulishwa Taarifa sahihi katika makuzi yake Hadi anazeeka

Waziri amekosea ila Kuna mahala serikali ina watu ambao hawajui mtoto apewe Nini ili awe mtu Bora , shule Kama Feza huwezi kukuta hizo mambo so Kuna Nguvu kubwa ambayo inatumika kuharibu watoto nab
Nb dumu fagio now days sio shule.
 
Mtoto ana mwaka mmoja anakaa anamsikiza Zuchu na anafatisha anachoimba. Nchi za wenye akili wanaanzia hapo kufikiria. Ila waswahili Mungu aliwanyima maarifa sio kosa lenu.

Kwa hivyo watoto wajifunze matusi ingali wadogo?. Kweli kizazi Cha nyoka kinakaribia. Na hao watoto wanasikiliza wakiwa wapi?
 

Muziki sio shida, hata mtaala wa Sasa hivi mziki upo. Shida mziki wa aina gani?. Kukatiana mabuno na kuitana honey?
 

Mbona elimu ilishaboreshwa na Kuna Mtaala mpya na sera mpya ya Elimu. Serikali haifanyi kazi kwa mihemuko.
 
Wakoloni wanajiandaa kurudi upya!Hatuna vizazi viwili mbele.

Kweli kabisa, miaka ishirini ijayo Tanzania itakuwa nchi ya tofauti kabisa na tuliyoijua. Ila tusije kulalamika kesho yatakayo wakuta watoto wetu na wajukuu.
 
Katika hili mkenda kaonesha alivyo mweupe kichwani, ni uamuzi wa ajabu sana kauchukua,
Hao walimu warudishiwe vyeo vyao tu

Namuunga mkono Prof, tuache unafiki Mwalimu Mkuu anaimba nyimbo ya mapenzi pamoja na wanafunzi wake inaleta maana. Prof Mkenda kajitoa kwenye lawama kwamba alisimama maadili. Hivi mzazi unaweza kuimba nyimbo wa mapenzi na mwanao mdogo?. Tusichukulie mamboa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…