Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na lina matatizo sawa?
 
Mmmhh!
Ni uchochezi??
Waache Watu waendelee kutapeliwa, wanapenda wao wenyewe, hawajalazimishwa kwenda kwa hao matapeli.
Wajinga ndio waliwao.
 

Alisema chikwete wapo ambao wakiguswa nchi itatikisika.

Labda na hao humo wamo.
 
Kiboko ya Wachawi ni Mkongo hana influence yoyote, isitoshe ni mganga wa kienyeji haubiri injili.

Mwamposa ni taasisi na mtumishi wa Mungu serikali inamtegemea.
 
Uliwahi kufuatilia ishu za yule jamaa

USSR
 
Uliwahi kufuatilia ishu za yule jamaa

USSR
Yaani kabisa GENTAMYCINE nipoteze muda wangu kufuatilia Ishu za Wapumbavu, Wachawi na Matapeli wa Imani Mkuu?
 
Kiboko ya Wachawi ni Mkongo hana influence yoyote, isitoshe ni mganga wa kienyeji haubiri injili.

Mwamposa ni taasisi na mtumishi wa Mungu serikali inamtegemea.
Taasisi wa Mwamposa inaitwaje, Serikali inamtegemea kwa lipi halafu ukisema ni Mtumishi wa Mungu wengine siyo?
 
Sasa uzi wa nini kama hufatilii

USSR
Kuna tofauti kati ya Kufuatilia na Mtizamo. Kwani kama wanaoenda huko wanalalamika haitoshi kuyajua ya huko Buza?
 
Wa Kawe wanakula nae sadaka, na sasa wamempa eneo ajenge hapo karibu na shule ya Feza na shule ya msingi Kawe B,
 
Wa Kawe wanakula nae sadaka, na sasa wamempa eneo ajenge hapo karibu na shule ya Feza na shule ya msingi Kawe B,
Hao waliompa ajenge hapo jirani na Shule ya Feza, ya Msingi Kawe B na Hospitali ya Masista Kawe wana Akili kabisa?
 
Kuna wengine kazi zetu kukusanya sadaka kawe....unadhani bosi akifungiwa tutaenda wapi na ujuzi wetu wa kukusanya sadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…