Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama code hizo unazo kwanini unahoji. Ana nguvu anaweza kusema hii shule ya feza ihamishwe nimeonyeshwa na Mungu Kuna mafuriko yatakuja.Na kila Jumamosi au Jumanne Queen Sheeba akiwa Dar es Salaam jamaa huitwa kwenda kumumbea pale Baharini.
Basi huyo tapeli ni mpumbavu. Itamgharimu sana. Mwenzake Suguye mjanja. Tayari kasema ameonyeshwa mshindi wa Urais 2025 ni mwanamke aliyevaa nguo zinazofanana na jezi ya Yanga.Kakataa kuwa sehemu ya Kampeni ya Queen Sheeba kwa mwakani na Kuchangia mchango wa Saidia Chama chetu.