Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

Wachawi wataendelea kushamiri kwa sababu wanatetewa sana, lakini waganga kila siku wanaandamwa, hata umkamate kive, hakuna kesi
 
Kakataa kuwa sehemu ya Kampeni ya Queen Sheeba kwa mwakani na Kuchangia mchango wa Saidia Chama chetu.
Basi huyo tapeli ni mpumbavu. Itamgharimu sana. Mwenzake Suguye mjanja. Tayari kasema ameonyeshwa mshindi wa Urais 2025 ni mwanamke aliyevaa nguo zinazofanana na jezi ya Yanga.
 
Kiboko kapigwa fitina na wenzake ambao ni makada alikuja speed mda mfupi angeaharibu biashara za watu,dogo ilitakiwa awe anapeleka mrejesho.
 
Haya mambo hata ulaya yapo ni wewe tu ufate Nuru au Giza, serikali haina kipimo cha kupima mafundisho sahihi ni yapi
 
Kuna mwingine kafika morogoro na Op. Rudisha misukule, ulinzi mkali anapewa salute kabisa
 
Back
Top Bottom