Serikali kama imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana, ijiandae kujenga magereza mengi

Kuna levels mkuu ndio maana sisi sote sio mawaziri. Hatuwezi puuzia umuhimu wa Medium schools kwenye dunia ya sasa.
 
Kuna levels mkuu ndio maana sisi sote sio mawaziri. Hatuwezi puuzia umuhimu wa Medium schools kwenye dunia ya sasa.
mkiwa mnabamizwa maada makubwa makubwa mkae kwa kutulia sasa sio kila siku mnakimbilia JF kufungua nyuzi za kulialia ada za English medium ni kubwa.

Nauhakika wewe hujasoma English medium ila umekaririshwa kuwa kwenye shule za english medium kuna elimu bora.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚basi nakuambia ukweli tu huko English medium watoto wamekaririshwa maswali na namna ya kujibu maswali pamoja na kulazimishwa kuongea broken English wakiwa katika mazingira ya shule, ila hakuna jipya wanachowazidi Kayumba, mtaala ni uleule so usitegemee OUTPUT ya maana hapo.

#kupanga ni kuchagua!!!
 
Kama mnataka mali mtayapata shambani
 
Mimi nafikiri ni swala la kukosa pesa tu ndio linakusumbua mkuu. Mtoto mwenye tabia za hovyo anatengenezwa popote usijifungie sana chumbani dunia iko kasi mzee
sawa wewe mwenye mia mbili zako, tukutane baada ya miaka 10🀝
 
Hakika Vijana wana makwazo mengi sana pale wanapoajiriwa.
- Sio waaminifu na wana janja-janja nyingi; -Ni wababaishaji na kiswahili kingi; Ni wavivu na hawajitumi-wanategea mshahara tu ufike.
 
Mbona serikali inatangaza ajira nyingi sana hususan katika awamu hii au tuwe tunakutag
Serikali inatangaza ajira kwa wingi upu mkuu kila mwaka graduate wanaingia mtaani elfu 5 sasa izo ajira wanazotangaza hazikizi wa waitimu ni wengi wapo mtaani hili ni janga kubwa sana jamaa ameongea ukweli uliopo na ukweli unauma
 
Serikali inatangaza ajira kwa wingi upu mkuu kila mwaka graduate wanaingia mtaani elfu 5 sasa izo ajira wanazotangaza hazikizi wa waitimu ni wengi wapo mtaani hili ni janga kubwa sana jamaa ameongea ukweli uliopo na ukweli unauma
Nakubaliana na wewe lakini kulalamika tu peke yake hakutoshei.
 
Hata tulalamike haitatusaidia Cha mu
Nakubaliana na wewe lakini kulalamika tu peke yake hakutoshei.

Nakubaliana na wewe lakini kulalamika tu peke yake hakutoshei.
Cha muhimu hapo ni vijana sasa waanze kujielewa na kuacha kuacha kufata mkumbo hili swala ni gumu sana nachokiona kwa mzazi kwa sasa amuulize kijana anataka nini ili kama ni fundi amkazanie kama ni daktari amkazanie huko na tuchukue mfano kama nchi ya china walikuwa maskini sana miaka ya nyuma walichukuwa atua ya kufanya kazi kwa bidii sana na shida ya hawa vijana wetu ni kukopy uhalisia wa maisha ambao hawana hakuna maisha yanakuja ya miujiza
 
Utaishusha lini kiongozi,kwa maana tunahitaji kujifunza kwenu wakubws
 
Yaani kuna watu bado wanasoma udaktari leo 2025 wakati dunia inakimbia kwa kasi sana technologically. Njia mojawapo ya kuongeza ajira hapa nchini ni watu ku-switch to STEM subjects. Science, Technology, Engineering na Mathematics.
Hivyo ndiyo vitu pekee vinavyoruhusu inventions na innovations sababu vina involve critical na advanced thinking. Look at the Asians!

Kwa nchi kama hii shimo la choo, kama tukipata watu wengi kutoka huko basi ajira hazitoisha sababu Technological opportunities na Applications zitakuwa unlimited kwa kila mtu. This is for future generations, though.

Anyway nchi imejaa vichwa maji hii.
 
Vijana wanasahau tuko kwenye kipindi cha huduma. TEHAMA ni njia rahisi ya kutoa huduma kwa masikini na matajiri.
Kuna mtu anasema nimemaliza IT natafuta kazi.
Nikamwambia tengeneza vipindi audio au videos au website au channel whatever. Kisha pita kwenye hizi shule za Private au Government omba nafasi hata dakika 10/20 Ongea na wazazi siku ya kikao Cha wazazi au graduation. Elezea umuhimu wa kitu chako kwa watoto wao. NAKWAMBIA utapata wateja na hutakuwa na habari ya hiyo ajira tena.
Usimwambie mtu naomba kazi mwambie naweza kukusaidia kuboresha hiki na kile
 
Wengi uwezo wa kupambana hawana, wanataka Kama enzi za kikwete unatoka hapa unaingia hapa bila interview Kama walimu
Interview inahitaji akili sana ile πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…haina cha GPA kubwa Wala ndogo. Watu wamefeli Balaaa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…