Serikali kama imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana, ijiandae kujenga magereza mengi

Serikali kama imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana, ijiandae kujenga magereza mengi

kama mtu unataka elimu bora atafuta hela mpeleke mtoto INTERNATIONAL SCHOOLS maana huko atafundishwa kwa mtaala wa nchi zilizoendelea mtaala unaoendana na mazingira na uhitaji wa dunia ya leo, ila sio hizi KANJANJA za ENGLISH MEDIUM huku utaenda kutupa hela bure na mtoto atambulia BROCKEN ENGLISH.
Kuna levels mkuu ndio maana sisi sote sio mawaziri. Hatuwezi puuzia umuhimu wa Medium schools kwenye dunia ya sasa.
 
Kuna levels mkuu ndio maana sisi sote sio mawaziri. Hatuwezi puuzia umuhimu wa Medium schools kwenye dunia ya sasa.
mkiwa mnabamizwa maada makubwa makubwa mkae kwa kutulia sasa sio kila siku mnakimbilia JF kufungua nyuzi za kulialia ada za English medium ni kubwa.

Nauhakika wewe hujasoma English medium ila umekaririshwa kuwa kwenye shule za english medium kuna elimu bora.

😂😂😂basi nakuambia ukweli tu huko English medium watoto wamekaririshwa maswali na namna ya kujibu maswali pamoja na kulazimishwa kuongea broken English wakiwa katika mazingira ya shule, ila hakuna jipya wanachowazidi Kayumba, mtaala ni uleule so usitegemee OUTPUT ya maana hapo.

#kupanga ni kuchagua!!!
 
Unakuta kijana ana miaka 30+, ametumia miaka 28 au zaidi shuleni hadi kuhitimu shahada yake ya udaktari.

Anarudi nyumbani bila ajira. Hana mtaji na hana ujuzi zaidi ya alichosomea. Wazazi nao hawakuwa na ajira rasmi, walikuwa wanaungaunga tu ili mtoto wao apate elimu aje kuwaokoa. Kijana anaamka anakuta baba na mama hawana nguvu tena ya kumsapoti na yeye hana nguvu ya kuwasapoti. Kila akiwaangalia wazazi anapata stress.

Kijana huyo akienda kwenye vibarua vya kusaidia mafundi anaonekana hajui lolote hivyo watu wanamkwepa.

Akisema aende mjini kama kariakoo, kutafuta cha kufanya. Anaishia kuzurula na anakosa hata 500 ya maji. Anaishia kutamani hata kuomba maji kwa mtu.

Hawezi kuuza simu ili aanze biashara maana kwenye simu ndipo ajira zinatangazwa. Na kuna muda anapitwa na fursa kwasababu ya kukosa bando.

Siku akipata elfu 1 yake anunue kifurushi, anakutana na kelele za motivational speaker wakimwambia kuwa kukaa kutegemea ajira ni uzembe. Utakufa masikini.
Anazidi kuchanganyikiwa.

Kijana huyu alikuwa na girlfriend wake, lakini ameachwa kwasababu future yake haionekani. Kijana huyu anahisia na mwili wake pia kuna muda unahitaji tendo la ndoa. Pesa ya kununua dada poa haipo, pesa ya kumpeleka mdada lodge haipo.Anaishia kujichua.

Akiangalia waliofeli darasa la saba, wapo mtaani na viduku na vidread kichwani wanaendesha bodaboda zao kwa furaha na kutamba elimu sio kitu.

Ndugu yangu; Ukipata nafasi ya kumshika kijana mmoja mkono na kumuinua juu, usisite. Vijana tunapitia mengi. Mungu atakulipa.

Kuna vijana wengi wasomi ila watoto wao hawatakwenda shule. Hawaamini tena kwenye elimu, kwa uelekeo wa vijana wasomi wanavyoongezeka na kuaminishwa kwenye kazi za ujanja ujanja taifa litaanza kujenga magereza mengi sana siku zijazo.
Kama mnataka mali mtayapata shambani
 
Mimi nafikiri ni swala la kukosa pesa tu ndio linakusumbua mkuu. Mtoto mwenye tabia za hovyo anatengenezwa popote usijifungie sana chumbani dunia iko kasi mzee
sawa wewe mwenye mia mbili zako, tukutane baada ya miaka 10🤝
 
Kwanza hakuna serikali inayo weza kuajili wananchi wake wote lakini lingine watanzania tujitahidi kuwa waaminifu tukiajiriwa ,nimesikiliza clip moja ya muwekeza aliye ajiri vijana kwenye mashamba yake matokeo yake vijana wanatumia matrekta yake kufanya kazi za nje kwa wizi hadi yameharika, sasa nani atawaajiri nyie kwa tabia za wizi hizi?
Hakika Vijana wana makwazo mengi sana pale wanapoajiriwa.
- Sio waaminifu na wana janja-janja nyingi; -Ni wababaishaji na kiswahili kingi; Ni wavivu na hawajitumi-wanategea mshahara tu ufike.
 
Mbona serikali inatangaza ajira nyingi sana hususan katika awamu hii au tuwe tunakutag
Serikali inatangaza ajira kwa wingi upu mkuu kila mwaka graduate wanaingia mtaani elfu 5 sasa izo ajira wanazotangaza hazikizi wa waitimu ni wengi wapo mtaani hili ni janga kubwa sana jamaa ameongea ukweli uliopo na ukweli unauma
 
Nakubaliana na wewe lakini kulalamika tu peke yake hakutoshei.
 
Hata tulalamike haitatusaidia Cha mu
Nakubaliana na wewe lakini kulalamika tu peke yake hakutoshei.

Nakubaliana na wewe lakini kulalamika tu peke yake hakutoshei.
Cha muhimu hapo ni vijana sasa waanze kujielewa na kuacha kuacha kufata mkumbo hili swala ni gumu sana nachokiona kwa mzazi kwa sasa amuulize kijana anataka nini ili kama ni fundi amkazanie kama ni daktari amkazanie huko na tuchukue mfano kama nchi ya china walikuwa maskini sana miaka ya nyuma walichukuwa atua ya kufanya kazi kwa bidii sana na shida ya hawa vijana wetu ni kukopy uhalisia wa maisha ambao hawana hakuna maisha yanakuja ya miujiza
 
Bro maisha ni mapambano sasa vijana wa leo wakiona mtu yupo kwenye kazi ana drive wanadhani maish ni lelemama .mimi niliweka digrii pembeni nikaingia mtaani.

Leohii mtu akiniona anahisi sijapitia mambo magumu kiss mwili soft na kakitambi kadogo.

Takuja kuandika historia yangu humu ilikuwafundisha vijana maisha yalivyo na wajue kuwa na digrii suo kufanikiwa kimaisha
Utaishusha lini kiongozi,kwa maana tunahitaji kujifunza kwenu wakubws
 
Yaani kuna watu bado wanasoma udaktari leo 2025 wakati dunia inakimbia kwa kasi sana technologically. Njia mojawapo ya kuongeza ajira hapa nchini ni watu ku-switch to STEM subjects. Science, Technology, Engineering na Mathematics.
Hivyo ndiyo vitu pekee vinavyoruhusu inventions na innovations sababu vina involve critical na advanced thinking. Look at the Asians!

Kwa nchi kama hii shimo la choo, kama tukipata watu wengi kutoka huko basi ajira hazitoisha sababu Technological opportunities na Applications zitakuwa unlimited kwa kila mtu. This is for future generations, though.

Anyway nchi imejaa vichwa maji hii.
 
Vijana wanasahau tuko kwenye kipindi cha huduma. TEHAMA ni njia rahisi ya kutoa huduma kwa masikini na matajiri.
Kuna mtu anasema nimemaliza IT natafuta kazi.
Nikamwambia tengeneza vipindi audio au videos au website au channel whatever. Kisha pita kwenye hizi shule za Private au Government omba nafasi hata dakika 10/20 Ongea na wazazi siku ya kikao Cha wazazi au graduation. Elezea umuhimu wa kitu chako kwa watoto wao. NAKWAMBIA utapata wateja na hutakuwa na habari ya hiyo ajira tena.
Usimwambie mtu naomba kazi mwambie naweza kukusaidia kuboresha hiki na kile
 
Wengi uwezo wa kupambana hawana, wanataka Kama enzi za kikwete unatoka hapa unaingia hapa bila interview Kama walimu
Interview inahitaji akili sana ile 😅😅😅😅😅haina cha GPA kubwa Wala ndogo. Watu wamefeli Balaaa.
 
Back
Top Bottom