Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

Haupo serious mkuu, kuingiza dudu nisiweze nianze kupeleka ulimi wangu huko?

Asante kwa kunipa dondoo za huko though.
Dogo kumbe wewe bado mgeni hapa mjini. Kuna watu raha yao ni kulamba. Wengine raha yao ni afungwe kamba miguuni na mikononi kisha apigwe fimbo especially mikanda na malaia. Wengine wanyonywe ndio raha yao. Wengine wapewe mtandao pendwa 0713 hawa ndio wengi especially wakisikia ile harufu ya msalani ndio maana vifurushi vya tigo ni bei juu kuliko voda.
 
Ningekuwa na mamlaka kubwa ningeikomesha hii biashara nchini ndani ya siku 3 tu.
yaani nikianalia historia ya hii biashara ya ngono hua naishia kucheka tuu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
 
Nasema hivi sitokaa niingie uko. Bora nikutane nae bila kujua nimtongoze anifuate kuliko niende kwake.
 
No, usiseme (polisi na wanajeshi wengi ni madomo zege) bali sema

(polisi na wanajeshi wengi ni INTROVERTS)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isipozuia wewe unapata hasara gani?
Au wakizuia wewe utapata faida gani?
Tunashindwa kufanikiwa kwa kujifanya tunajua kifuatilia vitu visivyo na faida au hasara kwenye maisha yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataftq chimbo wanakojiuza wakaka nimnunue mmoja nimkaamuuuue mpaka aombe poo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Sax
Sijui kwa nini umeona inafaa kuniita dogo.
 
Isipozuia wewe unapata hasara gani?
Au wakizuia wewe utapata faida gani?
Tunashindwa kufanikiwa kwa kujifanya tunajua kifuatilia vitu visivyo na faida au hasara kwenye maisha yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ulisomea shule gani?
Biashara hii ikifungwa INTROVERTS wote na madomo zege watabaka watoto wetu wadogo.
Danguro ni presha valve kama pombe.
 
Kwa nini serikali isiwatengee maeneo maalumu kama inavyofanya kwa wamachinga nao waweze kuenjoy biashara yao ? Iwape na EFD machine kabisa ili mapato yawepo kupitia kada hiyo , uchumi wetu hautategemea tena wafadhiri .
 
Ungeweza kuzuia ndani ya siku 3 eeeh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…