Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi.
Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara.
Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya vinne imeshindwa kukomesha ushetani huu wa mabinti kujiuza na wanaume kununua?
Nilipita Sokota usiku saa nne niliona barabara wameenea wadada poa, dereva alipunguza mwendo wadada wakaanza kutukaribisha huduma.
Je, wahusika wakuu wa kuzuia huu uhuni nao ni wanufaika wa hii biashara Tanzania?
Wananufaika kwa kununua bidhaa zao au wameamua kupuuzia siku zipite?
Ningekuwa na mamlaka kubwa ningeikomesha hii biashara nchini ndani ya siku 3 tu.
Kama hamtaki au hamuwezi kudhibiti basi muwarasimishe ili serikali ipate kipato kidogo.
Hapa ndio unapoona wabongo wengi ni masnitch tu, we umepita tu hizi ndio comment na ushauri wako, mbona ushauri waboreshe maisha yao halafu ndio watoze kodi wekezeni kwanza, watake radhi huo sio ushetani shetani ni wewe uliepita usikokujua.
ubakaji ungekuaje kama wasingekuwepo we Athumani kichwa akisimama wee bhana, we fanya yako ya ngoswe mwachieni ngoswe. uchumi huu wewe utasomesha watoto wao.