Kipindi cha RC Rwegasira asilimia kubwa ya hawa watu walikua ni wahaya. Walikua wanejikita pale lilipo jengo la Red Cross, Livingstone, Kidongo Chekundu, Msasani, Kawe, Mtoni ,Mwananyamala, Manzese, Tmk Sudan, Buguruni kuanzia Malapa mpaka Mnyamani na pale TBS. Wenye vijihela huduma walikua wakiipata Maggot na Ohio ktkt ya jiji. Walikuwepo mikoa yote Tanzania ispokua Mtwara, Lindi, Mbeya na Singida. Hii ni kwasababu k haiuzwi kwenye mikoa hiyo. Na mpaka kesho ukifika mikoa hiyo ukitongoza ukanyimwa njoo uchukue hii simu yangu bure.Enzi za Nyerere, Mkuu wa mkoa wa DSM kwa jina la Rwegasira alitaka kuwaondoa wauzaji wote na kuwarudisha kwao.
Habari zikamfikia Kambarage. Akamwita RC. Akamuuliza ukishawarudisha unataka hao wateja wao waende wapi? Wabake wake za watu? Pia akamwambia hata waliooa lakini wana matatizo ya ndoa hujipoza huko.
Zoezi la kuwaondoa lilifia hapo
Asilimia 80 au zaidi ya watu waliobalehe miaka ya 60, 70 na 80 walishapona kwa hawa dada poa wa enzi hizo.