GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa zikapatikana na bado zinaendelea kupatikana zingine ilimradi tu Kumtajirisha Kijana kwa gharama za Uzembe wenu wa Kushindwa Kuokoa Watanzania wakiwa katika Mikasa ya Ajali za Majini.
Hivyo basi GENTAMYCINE nawaombeni hebu fanyeni tena Mobilization ya kupatikana Pesa ya Kununulia Vifaa vya Uokoaji na Kuiimarisha Mishahara na Welfares za Watendaji (Wahusika) wa Uokoaji (Jeshi la Zimamoto na Uokoaji )
Basi Wenyewe mnajiona Wajanja!