Serikali: Kilichompata Dkt. Sospeter Bulugu kilitokana na kushuka kwa Sukari, na siyo madhara ya chanjo

Serikali: Kilichompata Dkt. Sospeter Bulugu kilitokana na kushuka kwa Sukari, na siyo madhara ya chanjo

Ukiwa kwenye mkutano ukiona mtu amestack ghafla hivo hakuna kujiuliza yafaa kuwa nyuma yake haraka Ili kuwahi chochote kumpa usaidizi Ili asianguke au kupata dharura yeyeto.
Papa wemba alidondoka ghafla stejini pasipo usaidizi ikawa mwisho wake.
Kikifika kimefika tuuuu mkuuhata ufanyaje . Papa wemba Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa . Huyu akupangiwa hivyo. Endelea kubughia ugali tu na viporo vya kande bila uwoga ikifika imefika tuuuu.

FakDelta
 
Watu wanatafuta sababu nyepesi nyepesi ili waendelee kujiliwaza wasipate chanjo.

Hakuna mwenye uhakika kama kweli huyo dokta ameanguka baada ya kupata chanjo, though hiyo inaweza kuwa moja ya side effects ambazo zinaweza kumpata mtu japo sio wote hudhurika, na ndio maana hilo ni tukio la kwanza (nasisitiza kama kweli ameanguka baada ya kupata chanjo).

Vinginevyo taarifa iliyotolewa na serikali kuhusu hiyo issue ndio final, watu wasijitafutie sababu zao binafsi ili wajiliwaze.
 
1628849131872.png

1628849168598.png


 
Serikali kupitia PM akiwa msikitini kuhusu kutoonekana kwa mwendazake Rais ni mzima na anaendelea vyema na majukumu yake
 
Huko kushuka kwa sukari ghafla kutoka Dk Sospeter Bulugu kulisababishwa na nini kama sio athari mbaya za chanjo ya UVIKO-19?

Kwanini kama ndivyo ilivyo kuwa kwa nini picha mwendo ilikingwa isioonekana hadi mwisho ilivyokuwa na waandishi wakaruhusiwa kufuatilia badala ya kuwazuia wassitoe habari hii hadi serikali baada ya wasamaria wema kuibandika kwenye mitandao ya kijamii wanakuja barua hoja ya 'circus' kama hii?

Tanzania imefikia mahali pabaya sana ambapo unafiki ndio kigezo cha kuongoza watu!!!!
 
Back
Top Bottom