Serikali: Kilichompata Dkt. Sospeter Bulugu kilitokana na kushuka kwa Sukari, na siyo madhara ya chanjo

Ujinga ni mzigo mzito sana. Unataka watu waendelee kuchukuwa video ya mtu mgonjwa? Hili uliliona wapi duniani? Huoni hata wachezaji wa mpira wanapopatwa na jambo la ghafla kama kuanguka kamera zote zinaacha kurekodi tukio. Anyways vitu vingine huwezi kuvielewa bila kustaarabika.
 
Ngoja tunyamaze , Ila chanjo itatupa majibu sahihi mmoja baada ya mwingine 😂🤣
Majibu gani tena unaongojea na nusu ya population ya dunia imeshachanjwa? I mean mko dunia gani nyie watu. Ni mtu mzima na akili zake amejifungia ndani akisubiri madhara ya chanjo ili aonekane ana akili! Du kweli ujinga mzigo. Misukule ya Magufuli mnatafuta vitu vidogo vidogo ili mpate sababu ya kukata mauno!
 
Kama hivyo ndivyo, kwanini JMK alipodondka akihutubia hamkutoa kamera kumwonesha?

Mbona hamkutoa kamera zenu wakati ulipozuka moshi wa ghafla kwenye ziara ya JPM huko Ruangwa?

Kwanini waandishi walibakiza kamera zao zimemulika aliposhambuliwa GW Bush akiwa jukwaani akihutubia?

Wewe ndio mgeni wa masuala yanayohitaji kuwekewa ushahidi kwa rejea halisi ili kubaini kitu gani kilichompata mwathirika
 
Naona picha ya Engineer Mjenzi alivyoumwa wakamwacha akaenda kulala, inajirudia. Hawa si binadamu. 'Kama alilkuwa amechanjwa, isisikike popote", "Operation ya kitaifa, operation Mumiani".
Nimeisikia hiyo, mazuzu yanajipeleka...ila siwaoni wapinzani wa kutosha kupokea chanjo, sijui wapo wapi?
 
Matukio unayozungumzia ni tofauti kabisa na matukio niliyoongolea. Usiwe na wasiwasi kuna vitu vingine vinahitaji elimu na exposure ndiyo mtu aelewe.
 
Mzim wa jpm ume wang'ang'ania
Mkuu,


Kila kinachotokea kimeundwa katika visababishi vitatu

1. Immediate causes (kisababishi cha moja kwa moja
2. Underlying causes (kisababishi kitokanacho na mambo mengine)
3. Root causes (kisababishi kitokanacho na kiini cha matendo yanayoashiria usalama au hatari lakini umakini ukakosekana kwa makusudi au u
zembe uliopitiliza)

Je, kilichojili kimesababishwa na sababu ipi hapo juu?
 
Hiyo Dr karopoka hivyo makusudi baada ya kuona watu hawajazima camera akasema watu wasijedhani amechanjwa.... Lengo lake ni kuwa hata wakishare watu wajue hakuchanja, ila alichanjwa[emoji23][emoji23][emoji23]
aya alichanjwa kwaiyo
 

mkuu mbona jb likowazi ni baada ya kuchoma chanjo au umeamua kujitoa ufaham?
 
Tushachanja nusu population ya dunia nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…