Watalamu wapo Shida ipo kwa mfumo wa kuajiri kulingana na ubobezi wa hio taluma ndio haupo.Kama unauliza majibu vile. Kama mitandao inasumbua basi wataalamu hawana uwezo. Wawape Wahindi hizo kazi wafanye kama outsource kule Bangalore.
Hao wataalamu umeziona wapi kazi zao? Maana unaweza kuwa msomi mzuri lakini ukiwekwa kwenye kazi inakushinda.Watalamu wapo Shida ipo kwa mfumo wa kuajiri kulingana na ubobezi wa hio taluma ndio haupo.
Kuna mtaalam mmoja aliniambia kuwa tatizo kubwa ni wataalam kuingiliwa na wanasiasa kimaamuzi. Mfano alisema wataalam wanapendekeza ununuliwe mtambo wa Milioni kumi, lakini anakuja mwanasiasa ili tu apate sifa kwa wananchi analazimisha mtambo ununuliwe wa bei rahisi labda nusu yake. hiyo husababisha wataalam waende kuweka oda ya mitambo ya bei rahisi ambayo huwa haina uimara na wala haidumu muda mrefuMifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo?
Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini mifumo ya serikali unaweza subiri hadi unachoka mfumo haufunguki. Mfano wa kwanza NECTA, halafu kuna mifumo mingi sana ya ELIMU na AFYA ,MIFUMO YA BILI ni matatizo makubwa sana tu.
hebu wahusika pitieni hilo yawezekana mnauziwa savers zilizo chini kabisa ya kiwango kwa bei ghali.
Mkuu fanya research utagundua zipo nying tu!.Hao wataalamu umeziona wapi kazi zao? Maana unaweza kuwa msomi mzuri lakini ukiwekwa kwenye kazi inakushinda.
Kweli tupuMifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo?
Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini mifumo ya serikali unaweza subiri hadi unachoka mfumo haufunguki. Mfano wa kwanza NECTA, halafu kuna mifumo mingi sana ya ELIMU na AFYA ,MIFUMO YA BILI ni matatizo makubwa sana tu.
hebu wahusika pitieni hilo yawezekana mnauziwa savers zilizo chini kabisa ya kiwango kwa bei ghali.
Mwaga mchele mkuu space ipo ili wajirekebishebajeti za serikali ni za kijinga.
unawaambia wanunue server kila moja usd 9000 lakini kinachofata wana kwambia nunua ya usd 2000 iliyobaki wanakula wenyewe.
bajeti za kuhudumia mitandao ni wagumu.nimefanya nao kazi !
pili ma IT wao ni wale watoto wa ndugu zao na hakuna la maana.
JF kungekuwa kuna space ninge mwaga mchele wote kuhusu upuuzi sekta ya tehama serikali
Pia conservatives wengi makazini hawataki kuakosolewa ukijidai mjuaji wanapita nawew unasubili muda wako ufikeMtu akisha ajiriwa serikalini anakuwa mungu mtu. Anaweza kuacha kutatua tatizo ndani ya muda akaenda kunywa chai. Hakuna uwajibikaji
Kuna Kitu huwa kinatakiwa kifanyike kabla ya Ku-Launch mifumo kwenda "LIVE" kutoka "UAT" hiyo process inaitwa Stress Testing, mifumo mingi ya huko bongo huwa haifanyiwi hii kitu nimekaa huko kwenya mbaadhi ya sekta mfumo ukishatengenezwa kabla hata ya Quality testing tayari uko Live.Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo?
Yaani wanatia kinyaaa mifumo yao ya hovyo sana halafu wanataka kwenda KitehamaKuna Kitu huwa kinatakiwa kifanyike kabla ya Ku-Launch mifumo kwenda "LIVE" kutoka "UAT" hiyo process inaitwa Stress Testing, mifumo mingi ya huko bongo huwa haifanyiwi hii kitu nimekaa huko kwenya mbaadhi ya sekta mfumo ukishatengenezwa kabla hata ya Quality testing tayari uko Live.
Stress testing inasaidia sana hasa kwenye kufahamu Kama kutakuwa na Concurrent connection 20 thousand wahat will happen.
Lakini stress testing huwa inafanyika kisasa pia.
Hata ikiwa imara still inapigwa tu wabongo sio mbuzi wachungike.Udhaifu na mapungufu katika mifumo ya TEHAMA ni manufaa kwa wapigaji na wazee wa michongo.