polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
- Thread starter
- #21
KwakweliKuna Kitu huwa kinatakiwa kifanyike kabla ya Ku-Launch mifumo kwenda "LIVE" kutoka "UAT" hiyo process inaitwa Stress Testing, mifumo mingi ya huko bongo huwa haifanyiwi hii kitu nimekaa huko kwenya mbaadhi ya sekta mfumo ukishatengenezwa kabla hata ya Quality testing tayari uko Live.
Stress testing inasaidia sana hasa kwenye kufahamu Kama kutakuwa na Concurrent connection 20 thousand wahat will happen.
Lakini stress testing huwa inafanyika kisasa pia.