KwakweliKuna Kitu huwa kinatakiwa kifanyike kabla ya Ku-Launch mifumo kwenda "LIVE" kutoka "UAT" hiyo process inaitwa Stress Testing, mifumo mingi ya huko bongo huwa haifanyiwi hii kitu nimekaa huko kwenya mbaadhi ya sekta mfumo ukishatengenezwa kabla hata ya Quality testing tayari uko Live.
Stress testing inasaidia sana hasa kwenye kufahamu Kama kutakuwa na Concurrent connection 20 thousand wahat will happen.
Lakini stress testing huwa inafanyika kisasa pia.
Walinzi wenyewe wa mifumo choka mbaya.Na ukiangalia wanajitapa wanamifumo
Hii mifumo lengo ni kumbana wa chini asile Ili wa juu wavimbewe waleNa ukiangalia wanajitapa wanamifumo
Sasa kama ng'ombe yenyewe inafurahia kukamuliwa acha serikali iendelee kukamuašSerikali inajua kukamua maziwa na sio kulisha ng'ombe
Yaani awataki kufanya service bali waingize tuSasa kama ng'ombe yenyewe inafurahia kukamuliwa acha serikali iendelee kukamuašView attachment 2085232