WALIMU 35000 kuajiriwa kati ya hao
WALIMU 32000 Ni wamasomo ya Art
WALIMU 3000 Tu ni Wasayansi.....Bado CCM hawaoni Tatizo apo kwani ata mwaka jana ilikua hivyohivyo..Nabado wanalipwa sawa uku upatikanaji wao ni shida ata mzigi pia sisawa....Hivi kwa trend hii TANZANIA itakuja kupata wataalamu km madaktari, wahandisi, wataalamu wa kilimo na mafundi ktk nyanja za uhandisi wA ndege mabaharia na ktk sekta za Gas nk.......Na kati ya hao walimu 3200 wa Sayansi takwimu zinaonesha nusu au robo tatu ni waalimu waliokua wanajiendeleza.....