#COVID19 Serikali: Kuanzia Julai 26, 2021 kila anayetumia usafiri wa umma avae barakoa

August 2021: " Serikali imesema watakaoruhusiwa wale waliochanjwa tu hawatavaa barakoa"


December 2021: " Serikali imesema ni lazima kila mTanzania achanjwe"


February 2022: " Serikali imesema Ili kuzuia kirusi cha Corona aina ya Gamma ,kila mTanzania yabidi aongezewe chanjo ya ziada"



April 2022: " Serikali imetangaza kuweka nchi yote ya Tanzania kwenye lockdown ila kuzuia maambukizi ya virusi vya korona"


Rinse and repeat
 
Katika hili jiwe atakumbukwa sana
 
hahahahaha
 
Vipi mbona sala haizungumzwi tena au wanaamini Mungu kafeli au ndio zinabembelezwa zile dola milioni 574 za IMF?

Umaskini ni kitu kibaya sana maanake haikuruhusu uwe na msimamo.
 
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
 
Hapa tutekeleze tu maelekezo ya profesa

. Tukileta ubishi tutaishia kwenye mitungi ya oxygen
 
May 2022
KingCobra95 afariki dunia kwa changamoto ya upumuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…