#COVID19 Serikali: Kuanzia Julai 26, 2021 kila anayetumia usafiri wa umma avae barakoa

#COVID19 Serikali: Kuanzia Julai 26, 2021 kila anayetumia usafiri wa umma avae barakoa

August 2021: " Serikali imesema watakaoruhusiwa wale waliochanjwa tu hawatavaa barakoa"


December 2021: " Serikali imesema ni lazima kila mTanzania achanjwe"


February 2022: " Serikali imesema Ili kuzuia kirusi cha Corona aina ya Gamma ,kila mTanzania yabidi aongezewe chanjo ya ziada"



April 2022: " Serikali imetangaza kuweka nchi yote ya Tanzania kwenye lockdown ila kuzuia maambukizi ya virusi vya korona"


Rinse and repeat
Tuwekwe lockdown hata kesho ili mradi serikali itulishe, tusisubiri April 2022 🤣
 
Back
Top Bottom