Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Safi sana.Serikali imeagiza kuanzia kesho kila anayetumia usafiri wa umma kuvaa barakoa huku stendi za mabasi zikitakiwa kuwa na miundombinu ya maji tiririka, sabuni na vipima joto.
View attachment 1867668
amekuwa dalali wa biashara ya barakoa ya ukwereniA disgrace is you.
Wapi mzee!!!Tulifanya makosa makubwa Sana kuacha utaratibu huu, kipindi kile na kukimbilia nyungu ya jaffo na Msukuma,
Bila hivyo unafikiri watu wanaelewa basi? Na wakati this is for their own goodWananchi na sisi kuchukua hatua ni mpaka serikali iingilie kati?
Na wajinga pekee wewe inclusiveKatika hili jiwe atakumbukwa sana
Huna tofauti na yule aliyekuwa anaamini ushirikina na akaondoka na corona, pole snaWapi mzee!!!
Hizi ni siasa tu. Tatizo ni hela. Utapewa mkopo kama huna wagonjwa wa corona?
Yaani kitendo cha kukubali fedha za mzungu matokeo ndo haya.
Na sikufichi,hatutachukua muda hatujapigwa lockdown.
Masharti ni kutangaza una wagojwa,na ni wangapi. Na grafu inatakiwa kupanda na si kushuka.
Mwanamke na maamuzi ya nchi wapi na wapi bana.
Mkuu ,Corona ipo au haipo mkuu, tangu enzi za Nyerere tz imekua ikikopa ,ukisika deni la TAIFA sio kwamba limeanza leo, tatizo tunakopa KWA Sasa na pesa ishia kwenye anasa,kununua mav8 , nk,Wapi mzee!!!
Hizi ni siasa tu. Tatizo ni hela. Utapewa mkopo kama huna wagonjwa wa corona?
Yaani kitendo cha kukubali fedha za mzungu matokeo ndo haya.
Na sikufichi,hatutachukua muda hatujapigwa lockdown.
Masharti ni kutangaza una wagojwa,na ni wangapi. Na grafu inatakiwa kupanda na si kushuka.
Mwanamke na maamuzi ya nchi wapi na wapi bana.
Atakumbukwa kwa kuwaachia watanzania wafe kama kuku wenye kideri bila kuchukuwa hatua mapema.mpaka yeye mwenyewe ikamuua.Katika hili jiwe atakumbukwa sana
Hakuna cha lock down hapa ,ila taadhali muhim, kwani past days, mwanzo wa korona tz tulipochuka atua za namna hii tulikua lock down? MkUpuuzi, hapa tunainyemelea lockdown taratibu. Pesa za Mabeberu hazijawahi kuwa rahisi
Mbona walikochukua hatua ndiko wanakufa zaidi?Atakumbukwa kwa kuwaachia watanzania wafe kama kuku wenye kideri bila kuchukuwa hatua mapema.mpaka yeye mwenyewe ikamuua.
Jana kwenye daladala tulikuwa tumeshonana peke yangu nilikua na kiziba mdini watu walikuwa wananikata jicho la dharau balaa.Wananchi na sisi kuchukua hatua ni mpaka serikali iingilie kati?
Haya yote hayakuwepo kabla, CORONA imeitwa na imeitika na inaonesha uwepo wakeTulifanya makosa makubwa Sana kuacha utaratibu huu, kipindi kile na kukimbilia nyungu ya jaffo na Msukuma,
Wamanisha nini?Haya yote hayakuwepo kabla, CORONA imeitwa na imeitika na inaonesha uwepo wake
Askari wa usalama barabarani, hii bebeni,lazima dereva au abiria!!!, wavae barakoa.Serikali imeagiza kuanzia kesho kila anayetumia usafiri wa umma kuvaa barakoa huku stendi za mabasi zikitakiwa kuwa na miundombinu ya maji tiririka, sabuni na vipima joto.
View attachment 1867668
dahJana kwenye daladala tulikuwa tumeshonana peke yangu nilikua na kiziba mdini watu walikuwa wananikata jicho la dharau balaa.