Kama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi.
Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana matumizi yasiyo na tija ikiwemo hii ya maafisa kutumia magari ya anasa ambayo yanatakiwa kugharamiwa na hizi tozo alizokamuliwa mlalahoi huku yeye akishindwa kumudu hata mlo mmoja kwa siku.
Hii ni sawa na kuwasaliti wananchi.