Hii inaumiza sana sio siriNchi ya AJABU sana GHARAMA ya kununua KIVUKO (PANTONI) ili kuhudumia Watanzania zaidi ya MILIONI 1 kule KIGAMBONI ni BIL.8
Lakini Serikali inatumia BIL.558 kununua Ma V8 kila Mwaka kwa Sh.BIL.558 ambayo ni sawa na VIVUKO ( PANTON) 70 lakini mpaka Leo KIVUKO ( PANTONI) ni
KIBOVU kila Siku MATENGENEZO lakini SERIKALI haioni UMUHIMU wa Kununua KIVUKO KIPYAView attachment 2330198
Bora kutawaliwa na mzungu lakini sio ngozi nyeusiAfrican leaders they are too selfish
KabisaAdui wa Watanzania ni CCM
Kwa hilo watasema serikali haina fedha πππ ila kwenye semina na hafla za kumsifia mama na kumlaki hela zipo. Hao ndio CCM bana!Nchi ya AJABU sana GHARAMA ya kununua KIVUKO (PANTONI) ili kuhudumia Watanzania zaidi ya MILIONI 1 kule KIGAMBONI ni BIL.8
Lakini Serikali inatumia BIL.558 kununua Ma V8 kila Mwaka kwa Sh.BIL.558 ambayo ni sawa na VIVUKO ( PANTON) 70 lakini mpaka Leo KIVUKO ( PANTONI) ni
KIBOVU kila Siku MATENGENEZO lakini SERIKALI haioni UMUHIMU wa Kununua KIVUKO KIPYAView attachment 2330198
Wananchi mnatakiwa mtoke nyuma ya simu sasaπππ tabia ya kulalamika haitaleta matokeo yeyote chanya. Tena ndo bwana Lameki ataongeza wigo wa tozo hadi mkome kuringaNi kweli aisee, kama hali imekuwa mbaya namna hii hadi kukamua tozo pesa zilizohifahiwa benki, basi hii ireflect kwa kupunguza hii anasa. Uvumilivu wa wananchi una mwisho wale jamani
Ukiangalia kwa ukaribu utagundua mzungu ana utu kuliko muafrika πππ!!! "Mlete mzunguuuuu...."Bora kutawaliwa na mzungu lakini sio ngozi nyeusi
Makes senseKama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi.
Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana matumizi yasiyo na tija ikiwemo hii ya maafisa kutumia magari ya anasa ambayo yanatakiwa kugharamiwa na hizi tozo alizokamuliwa mlalahoi huku yeye akishindwa kumudu hata mlo mmoja kwa siku.
Hii ni sawa na kuwasaliti wananchi.
Kama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi.
Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana matumizi yasiyo na tija ikiwemo hii ya maafisa kutumia magari ya anasa ambayo yanatakiwa kugharamiwa na hizi tozo alizokamuliwa mlalahoi huku yeye akishindwa kumudu hata mlo mmoja kwa siku.
Hii ni sawa na kuwasaliti wananchi.
Upo sahihi mkuu, pamoja na kwamba binadamu hatukosi mapungufu lakini wazungu wana utu sana linapokuja swala la kujali hali ya maisha ya watu...Bora kutawaliwa na mzungu lakini sio ngozi nyeusi
Sie ni roho mbaya tuu.Ukiangalia kwa ukaribu utagundua mzungu ana utu kuliko muafrika πππ!!! "Mlete mzunguuuuu...."
Kwahiyo umeikwepa point ukatupiga na technicalitiesSiku hizi Toyota hawana V8, zinazotoka mwaka huu zote ni V6, kwa taarifa yako tu