King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Haya kiko wapi sasa? HGA tayari huko endelea kupiga porojoWatazingatia maoni gani wakati IGA imeshapitishwa na bunge bila kusikiliza maoni ya wadau?
Msigwa anaeopoka ujinga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kiko wapi sasa? HGA tayari huko endelea kupiga porojoWatazingatia maoni gani wakati IGA imeshapitishwa na bunge bila kusikiliza maoni ya wadau?
Msigwa anaeopoka ujinga tu.
Samia sio sawa na nyie wenye akili kama mbuziSamia huyu huyu wa Kizimkazi ni mjanja? Anataka kugeuza Dar iwe Hub? Samia??
Kuna watu mna utani halafu hamjui wa kuwatania.
Hana akili hata ya kuwa Mtendaji wa Kata.Samia sio sawa na nyie wenye akili kama mbuzi
Hakuna mkataba unasainiwa J2.Haya kiko wapi sasa? HGA tayari umesainiwa Leo
Hata kama ndo hivyo dpw hao mzigoni!Hakuna mkataba unasainiwa J2.
Nasimama na msimamo wangu,Hata kama ndo hivyo dpw hao mzigoni!