Kuleni kwa urefu wa kamba zenu, na kwa namna yoyote ile, ili muibe ni lazima kwanza mmuseme na kumponda magu, najiuliza Sjui hamuwezi kuiba tuu bila kumponda!!
Kuna kipindi ilikuwa ni kawaida na haki ya mtu kumiliki mtumwa aliyeuzwa baina ya Muuzaji na Mnunuzi (kwa makubaliano)...., Kwahio unaona sababu ilikuwa sawa kisheria mpaka leo tungeendeleza Utumwa (au hiyo Biashara ya kuuza mtu ilikuwa ni sawa sababu tu ya Mikataba ) ?
Kama vipi waende wakawapige pingu na kuwafilisi wale wote walio-sign hio mikataba ili kufidia pesa zao...
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae tangazo rasmi limebandikwa la kupigwa minada mitambo yake. Ikumbukwe mitambo hiyo ilizulinduliwa na...
Kuna kipindi ilikuwa ni kawaida na haki ya mtu kumiliki mtumwa aliyeuzwa baina ya Muuzaji na Mnunuzi (kwa makubaliano)...., Kwahio unaona sababu ilikuwa sawa kisheria mpaka leo tungeendeleza Utumwa (au hiyo Biashara ya kuuza mtu ilikuwa ni sawa sababu tu ya Mikataba ) ?
Kama vipi waende wakawapige pingu na kuwafilisi wale wote walio-sign hio mikataba ili kufidia pesa zao...
Afadhali haukuwa wewe..... Pili nimegundua uanvyoongea lipeni deni huelewei kwamba halipi jamaa fulani au kiumbe lidubwasha fulani bali ni wewe mimi na vizazi vinavyokuja... eti kwani wangesubiri mkataba uishe kungekuwa na shida gani, kwahio uozo wote unaofanywa sasa kwa siri huko mbeleni tukuigundua kwamba hauna maslahi kwa faida tuendelee nao mpaka uishe ? Yaani tumuwajibishe anayetaka kuondoka nao na sio yule aliyeuleta ?
Unless una hisa kwenye huu ulaji sioni ni vipi mtu anaweza kuona this is okay....

Haijalishi nalipa mimi au wewe,nachosema huo unaoita uozo kama mkataba usingevunjwa pesa ya kulipa isingekuwa sawa na hii inayotakiwa kulipwa kwa wapumbavu kuvunja mkataba bila kufikiria na kufanya calculation..
Waliovunja mkataba kinguvu bila kutumia akili ndio wawajibishwe kwa uzembe huu.
We kiriboto, mimi na wewe hatutapatana mpaka utawala wenu wa kula Kwa kamba ndefu uishe, tafadhari usini Quote jumbe zangu zote ili Uzi ulioshikilia heshima ndogo kati yako na Mimi usikatike kabisa!
We mpumbavu! Mimi na wewe hatutapatana mpaka utawala wenu kula Kwa kamba ndefu uishe, tafadhari using Quote jumbe zangu zote ili Uzi ulioshikilia heshima ndogo kati yako na Mimi usikatike kabisa!
Ujasiri wa kuvunja mikataba waliyoingia wenzako bila kuwachukulia hatua? Tunaposema madaraka ya rais yapunguzwe na nguvu kuhamia kwenye taasisi hamtaki, maana mnajua ccm haiwezi kuendelea kukaa madarakani kwa mifumo yenye nguvu. Mnataka kumsifia mchafu aliyekuwa anapambana na asiowapenda badala ya wizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.