Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Huyo Mungu wako jiwe unayemwabudu pia alikuwa Mwizi. wewe mwenyewe mtu akikosea mwamala akatuma kwenye simu yako unakimbia haraka kwenda kuutoa na kwenda kwenye mataputapu.
Sasa Jiwe kaingiaje hapa!? Mwacheni Marehemu apumzike zake,Kesha maliza yake hapa Duniani,kazi imebaki kwetu na sisi kusubiri zamu zetu za Umauti kutufikia!!
 
Tamaa, Apes nature hata yale Machipanzee huwa yanawazuia wenzao kula matunda pori mti mzima linahodhi limoja na kutoa kibano cha haja kwa yeyote atakae gusa mti.
ushamba wa hela sio mzuri kabisa
 
Ni vizuri kuheshimu sheria wakati wote. Ubabe huwa hausaidii siku zote,utasifiwa kwa muda na baadaye utaumia au utawaumiza watu wako.
Kumbuka ubabe wa Nyerere kwa yule mkulima mzungu, gharama zake zilimkuta Magufuli. Mara mbili ndege zetu zilikamatwa.
Hakujifunza tu!! Mambo ya kisheria hayamalizwi kwa ubabe hata kidogo.
hata Ya Barrick mlisema hivyo hivyo wataenda MIGA je yaliishia wapi?
 
Kwani sheria inasemaje ulivunja mkataba bila kufuata taratibu mlizowekeana??
Maana nakumbuka kipindi cha jpm walilipa kimya kimya ili ndege ziachiwe...
Sass kama mmevunja mkataba why mtu asidai chake. Hata wewe mtu avunje mkataba ambao mmekubaliana kihuni lazima udai fidia. Na si ulivunjwa kipindj cha Jpm maana yeye ndio alikuwa bingwa wa kutofuata sheria. Akizani anamkomoa Mzungu.....
 
Watanzania ebu tuache ujinga! Tutajiwe kesi na mahakama iliyoamua Symbion walipwe kiasi hicho cha pesa!
Isije ikawa watu wanatengeneza tu mazingira ya kupewa pesa hizo bila kesi yoyote na kumsingizia Hayati Magufuli kwamba alivunja mkataba kinyemela.
Kwanza nyie mnaoshabikia mmejuaje mkataba ulivunjwa kinyemela bila kesi na hukumu ya Mahakama?!
Au ndo mnataka tuunganishe dots kwamba huu ulikuwa ni mkakati uliopangwa ndo maana akina Zitto Kabwe wamemshambulia Marehemu Hayati Magufuli mfululizo?!
 
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana,

Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia kwa mikataba ya kipumbavu na mezani kwa watia sain kumewekwa dollar za rushwa, na sasa tunawalipa tena waizi wetu!

Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka

Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Angekuwa shujaa saizi si angekuwa Ikulu? Tatizo hakuwa na akili 😆😆😆😆
 
Ipo siku tunaotukanana humu tutaimba wimbo mmoja! Wajukuu zetu watatu address kama akina Chief Mangungo.

Kama chama chao wenyewe walijimilikisha mali itakuwa rasilimali za umma? Hizi fedha zinazunguka alafu zinarudi kwa walewale waliohodhi na wanaoona hii nchi ni yao wenyewe!

Tuendelee kutafuta ugali, mambo mengine huwezi kupata jibu leo wala kesho. Endeleeni kutukanana hadi siku utapojua ulikuwa unajitukana mwenyewe.
Bora ziende tuu kuliko zilivyokuwa kwa sukuma gang wala hazikutusaidia.
 
Kwa hiyo awamu ya sita ndio ilivunja mkataba mnavolalamika hapa kuwa awamu ya sita haifai?
Kuna watu sijui mnwazia kupitia naniliu!
Dawa ya deni ni kulipa,afu unakuta mama kakwama kwenye mambo yake Kisa upuuzi wa sukuma gang walipokuwa madarakani so kaamua ku clear mess
 
Kipindi Cha jpm kulikuwa na maendeleo gani zaidi ya kuwafanya vijana machinga waliosoma na wasiosoma hakuna tofauti.
Hili ndio swali huwa nawauliza watu watuambie hayo Maendeleo yaliyokuwepo ni yapi maana naona kufa kwake kumefungua maendeleo kuliko ilivyokuwa sasa watusaidie maana hata miradi hakuna hata mmja alikamilisha.
 
Suppose ni kweli CCM inabidi itolewe, ibadilishwe, tueleze ibadilishwe na nani?. Yaani kwa sasa hapa tulipo, tuitoe CCM, tumpe nani?.
Kukosekana kwa anye serious and credible opposition in Tanzania, ni afadhali CCM iendelee!. Kiukweli Watanzania tumshukuru sana Mungu for CCM, kuna watu wangechukua nchi hii...
Naomba nisimalizie!.
P
Moja ya swali zuri, yaani ukiangalia wapiga kelele huko nje si tuu wako disorganized na Wana migogoro isiyoisha zaidi ni wezi wanaopiga makelele kwa sababu wako Nje ndio maana walifoka bei na hawawezi kurudi..

Nani wa kuongoza Tzn kwa sasa zaidi ya CCM?
 
hata kama tunasaidiwa kingi lakin sio bure ni mikopo lakini basi hata hichi kidogo tunachokusanya wenyewe angalau basi kitufae kutuletea maendeleo japo kiduchu kuliko kulipa hizo kampuni za kitapeli kisha hizo kampuni nazo wanatoa mgao wa 10% kwa hawa walafi wetu usidhani mikataba mibovu kama hiyo wakubwa wamesaini bure tu wana mgao wao wanapata kwenye malipo yoyote yatakayofanywa ndomana hawaoni tabu kuidhinisha pesa zitoke
Huwezi kataza kampuni kutoa mgao,hiyo ni wenyewe ..Swali la msingi ni je kwani hawakutoa huduma ya umeme? Pili kwa nini ulikiuka mkataba uliosaini mwenyewe?

Lipeni deni Mzee Ili next time mpate akili...

Hii Nchi kuna watu wajinga Sana,watu walikuwa wanadanganya wananchi eti tunajenga kwa pesa zetu sio mikopo kumbe Hali halisi iko hivi 👇,,huu si ni upopoma huu.

Screenshot_20220430-075700.png
 
Dah !!! haya mambo haya kufanya wafanye wengine lawama apewe mwingine !!!!

Walioleta Symbion kwa Mikataba ya Ajabu (Hakuna Lawama)!!!!

Waliokuwepo wakati inaonekana sio Kheri kuwalipa Symbion ? (Hakuna Lawama)

Yule ambaye ameshaondoka / amekufa hawezi kujitetea (Apewe lawama zote chini ya Jua ila mazuri yote tuchukue Sisi)

Kweli combination ya Unafiki na Kukosa Aibu ni Combination moja Hatari Sana....
Kwani hawakutoa huduma waliyokubaliana kwenye mkataba?
 
Ndio maana huyo januari makamba wahuni wenziwe wamemuweka hapo nishati ili waweze fanikisha ufisadi kuiba fedha ya umma. Utaona awamu ya jpm walikaa kimya hao symbion. Sasa hata mikakati ya bwawa la nyerere watahujumu ili kuleta wanyonyaji wa kimarekani ili walipwe ujira.
Mbona sukuma gang walileta kampuni feki za kujenga Bwawa hamsemi,VP alilisema hili na akaongesea wanacvm ndio wanahujumu Bwawa..

Hao hao sukuma gang walipiga dili kwenye Mradi wa bandari ya Tanga mko kimya nk..

Msemaji wao amekwiba maelfu ya ekari za wanavijiji Huko Morogoro na mko kimya..

Acheni ufala kabisa 👇

Screenshot_20220417-070713.jpg
 
Back
Top Bottom