Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Kazi maalum ya kabudi hii imemshinda au kuna ubabe umetumika?
 
Nchi hii tunapigwa sana.Badala ya kulalamika mitandaoni,tukae pamoja kujadili namna ya haraka ya kulikomboa taifa letu pendwa!.
Mambo ya kusubiri sijui uchaguzi au nini ni dalili za kukosa mipango.
Ukae na nani mkuu, ndiyo maana tunawalaani UKAWA mpaka basi, walimsikiliza Kiongozi fulani hadi akili zisimama kufanya kazi wakabaki na kipengere kimoja tu cha kupigania eti SERIKALI TATU AU SERIKALI YA MKATABA. Rasimu ile ilikuwa na mambo bamubamu mengi sana mazuri ikiwemo tume huru, kufuta wakuu wa wilaya na mikoa. Yaani mimi iliniuma hii document mpaka basi. Halafu they (Ukawa) walked out, jamaaaani

Tungeweka kwanza kibindoni katiba pendekezwa na baada ya kuwa in operational muda huu ndiyo tungetakiwa kudai marekebisho ya kuhusu muundo wa serikali.

Wabongo kwa kweli tunahitaji kuombewa, eti sasa hivi ndiyo tunahangaikia kuomba a fresh katiba na wahusika ni wale wale waliokuwa vinara wa UKAWA.Kuna jipya hapo, shame on us, wacha ccm watushughulikie bhana
 
hata kama tunasaidiwa kingi lakin sio bure ni mikopo lakini basi hata hichi kidogo tunachokusanya wenyewe angalau basi kitufae kutuletea maendeleo japo kiduchu kuliko kulipa hizo kampuni za kitapeli kisha hizo kampuni nazo wanatoa mgao wa 10% kwa hawa walafi wetu usidhani mikataba mibovu kama hiyo wakubwa wamesaini bure tu wana mgao wao wanapata kwenye malipo yoyote yatakayofanywa ndomana hawaoni tabu kuidhinisha pesa zitoke
Naelewa but tatizo ni mfumo mzima! Ili twende vzr ni lazima tupate muongozo mpya na thabiti wa Taifa!! Kwa katiba iliyopo ni ngumu sana kuacha kuiba na mamb ya 10%. Mamb ya makinga kwa viongoz hayatakiw ili kue na hofu kweny uwajibikaji
 
Sukuma gang wanakomeshwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wacha nchi itafunwe!
Hhh
Screenshot_2022-05-02-18-44-44-00.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kesi ilikuwa mahakamani, haikuwa siri, na awamu ya tano walitegemea ubabe wao ungeikinga nchi, lakini haikuwa hivyo, Jee tumesahau yule mkulima wa South Africa alivyozuia ndege zetu hadi tukamlipa mara zaidi ya tani ya deni lake halisi. Yote hayo ni matokeo ya ubabe wa awamu ya tano, ubabe usiokuwa na mipango wala akili
Tulivunja mkataba na Dowans kwenye awamu ya 4, Ila malipo yamelipwa Sasa.
Huenda ikawa zaidi ya ubabe, awamu ya 4 hakukua na ubabe Ila tukavunja mkaataba na Dowans.
Huenda kilichofanyika kwa Dowans ndio kilifanyika kwa symbion
Wanasheria wa tanesco Rex attorney's mmoja wao ni mwanaidi maajar walshauri Tanesco kuvunjaa mkataba na Dowans, alafu hapohapo walikua pia wakiiwakilisha Dowans na wakaishauri Dowans kufungua kesi dhidi ya Tanesco.
Leo maajar ni mmoja wa wanabodi Tanesco, na tayari Dowans kishalipwa.

Huenda na symbion ni hivyo.
 
Magufuli alicho kosea na kutaka kukoselewa,angecheza hizo kete vizuri angekomesha na Kikwete alimpa chance alihakikisha anakiwa Rias ili akaondoe haya mambo-tatizo lake alicheza kete ndivyo sivyo.

Na watanzania sisi tulivyo mazezeta,tumelala kama wafu-tutakuja kushtka hatuna chetu-na bila nguvu ya umma tutalalamika hadi kesho.
 
Sijui hata kama unajua ya kuwa mimi siyo Sukumagang, Msoga gang wala ccm!

Haya makundi yote matatu kwangu nayachukulia kama makambi ya upigaji tu.
Humu sasa hivi kumejaa Watoto wengi, wanaruka tu watakavyo
 
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.

Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.

Pia soma

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana huyo januari makamba wahuni wenziwe wamemuweka hapo nishati ili waweze fanikisha ufisadi kuiba fedha ya umma. Utaona awamu ya jpm walikaa kimya hao symbion. Sasa hata mikakati ya bwawa la nyerere watahujumu ili kuleta wanyonyaji wa kimarekani ili walipwe ujira.
 
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.

Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.

Pia soma

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Awamu hii walio nacho wanaongezewa kwa njia mbalimbali, halali na haramu. Wasio nacho wanateseka na tozo za miamala, gharama za mawasiliano na kupanda bei kwa bidhaa. SERIKALI iko wapi?
 
Ilikuwa lazima capacity charge irudi. Wafaidika wakubwa sio wazungu ni mafisadi wa kianzania. Kila mtu aliona mgao wa Ruge na waliofaodika, wale waliopokea kutoka Standard Chartered waliwekwa siri kwa sababu ni wakubwa mno. Makamba kasema wazi kuwa CCM ilichukuliwa na wasio wenyewe. Magufuli amekufa wenye CCM wanatawala. Wana uwezo wa kuhakikisha chochote kinafanyika ili warudie ulaji wao. Mkataba wa Simbio ulifika mwisho na serikali ikaamua isi renew. Leo unaambiwa walipwe na si ajabu na capacity charge walipwe, ili mradi tu mabilioni walipwe mafisadi wa kitanzania kinyemela. Ila wafahamu kuwa Mungu wa mbinguni anawaona.
Nakuelewa vizuri. Inasikitisha na kuumiza roho shimo tunaloelekea.
 
Bongo nyoso mwenye uchungu na maisha yako ni mzazi tu maana wawa kilishi wetu wanawaza uchaguzi tu
 
Tuwashukuru wenye kampuni,maana wangeshitaki kipindi chake namna angelisimamia ingetukosti zaidi
Kuleni kwa urefu wa kamba zenu, na kwa namna yoyote ile, ili muibe ni lazima kwanza mmuseme na kumponda magu, najiuliza Sjui hamuwezi kuiba tuu bila kumponda!!
 
Ilikuwa lazima capacity charge irudi. Wafaidika wakubwa sio wazungu ni mafisadi wa kianzania. Kila mtu aliona mgao wa Ruge na waliofaodika, wale waliopokea kutoka Standard Chartered waliwekwa siri kwa sababu ni wakubwa mno. Makamba kasema wazi kuwa CCM ilichukuliwa na wasio wenyewe. Magufuli amekufa wenye CCM wanatawala. Wana uwezo wa kuhakikisha chochote kinafanyika ili warudie ulaji wao. Mkataba wa Simbio ulifika mwisho na serikali ikaamua isi renew. Leo unaambiwa walipwe na si ajabu na capacity charge walipwe, ili mradi tu mabilioni walipwe mafisadi wa kitanzania kinyemela. Ila wafahamu kuwa Mungu wa mbinguni anawaona.
Na imekuwa kawaida yao kumsema vibaya kwanza JPm ndio waibe! Hivi hawawezi kuiba tuu bila kumwingiza huyu shujaa kwenye kashifa zao hizo!
 
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.

Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.

Pia soma

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule kichaa ni Bora alikufa mapema, maana sielewi tungekuwa tumefika wapi sasa kama nchi. Nahisi tungekuwa kama Zimbabwe.

Watanzania wajinga walikuwa wanampongeza anapovunja mikataba ambayo watangulizi wake waliingia. Alivunja kwa hisia tu kuwa waliotangulia wamemepokea mlungura.

Hamna namna lazima haya madeni ya Symbion na madeni mengine yote yalipwe. Short of that tutapata usumbufu kama tulivyosumbuliwa na Mkulima Hermanus Steyn na ndege za ATCL
 
Pongezi ziende kwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuirudisha Nchi kwenye utawala wa sheria.

Awamu iliyopita ilijikita zaidi kwenye udikteta uchwara na ubabe wa kishamba ikiongozwa na Raisi Punguwani.
2339015_Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg

westbrookwtf.png
 
Yule kichaa ni Bora alikufa mapema, maana sielewi tungekuwa tumefika wapi sasa kama nchi. Nahisi tungekuwa kama Zimbabwe.

Watanzania wajinga walikuwa wanampongeza anapovunja mikataba ambayo watangulizi wake waliingia. Alivunja kwa hisia tu kuwa waliotangulia wamemepokea mlungura.

Hamna namna lazima haya madeni ya Symbion na madeni mengine yote yalipwe. Short of that tutapata usumbufu kama tulivyosumbuliwa na Mkulima Hermanus Steyn na ndege za ATCL
Chukua hiyo

Alafu mbona mkataba wa Dowans ulivunjea awamu ya n e? Wakafungua mashataka wakalipwa awamu 4, Mkataba na Richmond vip? Unajua kuwa aliekjwa mwanasheria wa Dowans na badae Symbion kwasasa ni mjumbe ndani ya bodi ya Tanesco?
Screenshot_2022-05-02-18-44-44-00.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuleni kwa urefu wa kamba zenu, na kwa namna yoyote ile, ili muibe ni lazima kwanza mmuseme na kumponda magu, najiuliza Sjui hamuwezi kuiba tuu bila kumponda!!
Alivurunda,akijifanya kujua na roho yake mbaya akawavuruga wafanya biashara,2018 Kodi ikawa shida,akawaita mwenyewe ikulu,matrilioni yakapotea yasijulikane yalikoenda,akamsakama cag akamfukuza kinyume Cha Sheria..alikua mvurundaji,nchi ilipata ajali ya kitawala
 
Back
Top Bottom