Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
ChademaNimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChademaNimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
nchii kuna wenye roho mbaya wwngi kuliko wemaThe problem with people like you ndumilakuwilis mnajua kuwa "hiko choo ni kibovu na hakirekebishiki ". Cha ajabu badala ya kukitoa mnawaza je mtakachonunua kipya kitakuwa kama chenyewe? Mwisho mnaugua maradhi na kuwaambukiza wengine!
Vyama vikongwe ni kama godoro... baada ya miaka mingi ya matumizi uchakavu unazidi. Badala ya kuleta usingizi wa raha unapata kero tu!
Uzuri unakubali kuwa ccm ishatoka kwenye reli kitambo... Na inaenda kusikojulikana.
Nikuhakikishie tu kuwa badala wa ccm upo... So your fact is basically factual to you and a few conservatives!
Kinachohitajika ni leveled playing fields huko kwenu na nje huku muone jinsi tutakavoliokoa hili taifa!
Kila mtu anapiga kazi... Lakini nyie mnapiga kazi zaidi kuelekea kwenye oligarchy and elite capture!
Kabidhi nchi chadema life lisongeNo it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
P
jAMBAZIAma kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Waoga wa kutetea Injili ya Yesu Kristo na imani sio waoga wa simba au chui au chochote cha kuogofyaAma kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Maghayo acha ufala wewe 356B ...unaona Kama hela ya machenza wewe vipMleta mada bana. Yani wee mwenyewe unaona iyo billion 356 ni nyiiingiiiiiiiiiiiiii.
Sawa, lakini pale Chadema nani anaweza kuongoza nchi?Kabidhi nchi chadema life lisonge
Hawawezi kukubali kupoteza mchuzi wao, wao walitumwa fedhaWaseme tu pesa zinaenda kwa mstaafu fulani
Mungu atunusuru
Siku ya uchaguzi ikifika mnaamka saa saba mchana na kuwasha TV kuangalia matukio yaliyotokea, leo mnakuja kulalamika jukwaani.No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
P
You only live once, kula fedha upatapo fursa.Ifike pahala tuwe serious Na pesa za nchi
Duh...!Chadema
Duh...!.Kabidhi nchi chadema life lisonge
Kesi ilikuwa mahakamani na haijaishaMbona hawakudai enzi za Magufuli? Pesa wanarudishiana kina msoga.