Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

The problem with people like you ndumilakuwilis mnajua kuwa "hiko choo ni kibovu na hakirekebishiki ". Cha ajabu badala ya kukitoa mnawaza je mtakachonunua kipya kitakuwa kama chenyewe? Mwisho mnaugua maradhi na kuwaambukiza wengine!

Vyama vikongwe ni kama godoro... baada ya miaka mingi ya matumizi uchakavu unazidi. Badala ya kuleta usingizi wa raha unapata kero tu!
Uzuri unakubali kuwa ccm ishatoka kwenye reli kitambo... Na inaenda kusikojulikana.

Nikuhakikishie tu kuwa badala wa ccm upo... So your fact is basically factual to you and a few conservatives!
Kinachohitajika ni leveled playing fields huko kwenu na nje huku muone jinsi tutakavoliokoa hili taifa!

Kila mtu anapiga kazi... Lakini nyie mnapiga kazi zaidi kuelekea kwenye oligarchy and elite capture!
nchii kuna wenye roho mbaya wwngi kuliko wema
 
No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
P
Kabidhi nchi chadema life lisonge
 
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana,

Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!

Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka

Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
jAMBAZI
 
Waoga wa kutetea Injili ya Yesu Kristo na imani sio waoga wa simba au chui au chochote cha kuogofya
 
No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
P
Siku ya uchaguzi ikifika mnaamka saa saba mchana na kuwasha TV kuangalia matukio yaliyotokea, leo mnakuja kulalamika jukwaani.
 
Hakika hasara ni kubwa, tulikuwa tunashangilia na kukata mauno wakati JPM akivunja mikataba kibabe bila kufuata taratibu akidhani analikomboa taifa, Sasa walewale masikini na wanyonge, baada ya kufanya sherehe wakati JPM akivunja mikataba hovyo hovyo, kila mmoja ataingiza mkono mfukoni kuilipa bilioni 356.
Hakika, umasikini unyonge Sasa utakolea.

Wale wazalendo wa tumbo wa enzi ya JPM
Screenshot_20220502-162544.jpg
nao watalipa!.

Uzalendo mzuri ni kufuata taratibu na sheria
 
hiyo pesa nadhani itakatwa kwenye hivi vifushi vipya vya mitandao vilivyotangazawa juzi
 
Back
Top Bottom