Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukae na nani mkuu, ndiyo maana tunawalaani UKAWA mpaka basi, walimsikiliza Kiongozi fulani hadi akili zisimama kufanya kazi wakabaki na kipengere kimoja tu cha kupigania eti SERIKALI TATU AU SERIKALI YA MKATABA. Rasimu ile ilikuwa na mambo bamubamu mengi sana mazuri ikiwemo tume huru, kufuta wakuu wa wilaya na mikoa. Yaani mimi iliniuma hii document mpaka basi. Halafu they (Ukawa) walked out, jamaaaaniNchi hii tunapigwa sana.Badala ya kulalamika mitandaoni,tukae pamoja kujadili namna ya haraka ya kulikomboa taifa letu pendwa!.
Mambo ya kusubiri sijui uchaguzi au nini ni dalili za kukosa mipango.
Naelewa but tatizo ni mfumo mzima! Ili twende vzr ni lazima tupate muongozo mpya na thabiti wa Taifa!! Kwa katiba iliyopo ni ngumu sana kuacha kuiba na mamb ya 10%. Mamb ya makinga kwa viongoz hayatakiw ili kue na hofu kweny uwajibikajihata kama tunasaidiwa kingi lakin sio bure ni mikopo lakini basi hata hichi kidogo tunachokusanya wenyewe angalau basi kitufae kutuletea maendeleo japo kiduchu kuliko kulipa hizo kampuni za kitapeli kisha hizo kampuni nazo wanatoa mgao wa 10% kwa hawa walafi wetu usidhani mikataba mibovu kama hiyo wakubwa wamesaini bure tu wana mgao wao wanapata kwenye malipo yoyote yatakayofanywa ndomana hawaoni tabu kuidhinisha pesa zitoke
HhhSukuma gang wanakomeshwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha nchi itafunwe!
Sijui hata kama unajua ya kuwa mimi siyo Sukumagang, Msoga gang wala ccm!Zee la sukuma gang.
Mama anaupiga mwingi [emoji23][emoji23]
Tulivunja mkataba na Dowans kwenye awamu ya 4, Ila malipo yamelipwa Sasa.Hii kesi ilikuwa mahakamani, haikuwa siri, na awamu ya tano walitegemea ubabe wao ungeikinga nchi, lakini haikuwa hivyo, Jee tumesahau yule mkulima wa South Africa alivyozuia ndege zetu hadi tukamlipa mara zaidi ya tani ya deni lake halisi. Yote hayo ni matokeo ya ubabe wa awamu ya tano, ubabe usiokuwa na mipango wala akili
Humu sasa hivi kumejaa Watoto wengi, wanaruka tu watakavyoSijui hata kama unajua ya kuwa mimi siyo Sukumagang, Msoga gang wala ccm!
Haya makundi yote matatu kwangu nayachukulia kama makambi ya upigaji tu.
Ndio maana huyo januari makamba wahuni wenziwe wamemuweka hapo nishati ili waweze fanikisha ufisadi kuiba fedha ya umma. Utaona awamu ya jpm walikaa kimya hao symbion. Sasa hata mikakati ya bwawa la nyerere watahujumu ili kuleta wanyonyaji wa kimarekani ili walipwe ujira.Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Pia soma
Mitambo ya Umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae tangazo rasmi limebandikwa la kupigwa minada mitambo yake. Ikumbukwe mitambo hiyo ilizulinduliwa na...www.jamiiforums.com
Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?
𝙷𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! 𝙼𝚒𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚊𝚍𝚑𝚊𝚊 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚠𝚊𝚠𝚊𝚔𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚞𝚗𝚒 𝚢𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚗𝚊 𝙱𝚊𝚕𝚘𝚣𝚒 𝚠𝚊 𝚄𝚂𝙰 𝚗𝚌𝚑𝚒𝚗𝚒 𝚃𝙰𝙽𝚉𝙰𝙽𝙸𝙰 𝚑𝚞𝚔𝚞 𝚒𝚔𝚒𝚍𝚊𝚒𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚒𝚞𝚣𝚒𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚖𝚎 𝚃𝚊𝚗𝚎𝚜𝚌𝚘 𝚞𝚝𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚊 2024, 𝙼𝚍𝚊𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚗𝚒𝚙𝚎𝚗𝚢𝚎𝚣𝚎𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚐𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚒...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Awamu hii walio nacho wanaongezewa kwa njia mbalimbali, halali na haramu. Wasio nacho wanateseka na tozo za miamala, gharama za mawasiliano na kupanda bei kwa bidhaa. SERIKALI iko wapi?Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Pia soma
Mitambo ya Umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae tangazo rasmi limebandikwa la kupigwa minada mitambo yake. Ikumbukwe mitambo hiyo ilizulinduliwa na...www.jamiiforums.com
Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?
𝙷𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! 𝙼𝚒𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚊𝚍𝚑𝚊𝚊 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚠𝚊𝚠𝚊𝚔𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚞𝚗𝚒 𝚢𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚗𝚊 𝙱𝚊𝚕𝚘𝚣𝚒 𝚠𝚊 𝚄𝚂𝙰 𝚗𝚌𝚑𝚒𝚗𝚒 𝚃𝙰𝙽𝚉𝙰𝙽𝙸𝙰 𝚑𝚞𝚔𝚞 𝚒𝚔𝚒𝚍𝚊𝚒𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚒𝚞𝚣𝚒𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚖𝚎 𝚃𝚊𝚗𝚎𝚜𝚌𝚘 𝚞𝚝𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚊 2024, 𝙼𝚍𝚊𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚗𝚒𝚙𝚎𝚗𝚢𝚎𝚣𝚎𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚐𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚒...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa pimbi sana kwa hiyo umeona hii ndiyo njia ya kufanya watu wasiongelee madudu yanayotokea sasa hiviSukuma gang mmeanza hekaya zenu za abunuasi
Nakuelewa vizuri. Inasikitisha na kuumiza roho shimo tunaloelekea.Ilikuwa lazima capacity charge irudi. Wafaidika wakubwa sio wazungu ni mafisadi wa kianzania. Kila mtu aliona mgao wa Ruge na waliofaodika, wale waliopokea kutoka Standard Chartered waliwekwa siri kwa sababu ni wakubwa mno. Makamba kasema wazi kuwa CCM ilichukuliwa na wasio wenyewe. Magufuli amekufa wenye CCM wanatawala. Wana uwezo wa kuhakikisha chochote kinafanyika ili warudie ulaji wao. Mkataba wa Simbio ulifika mwisho na serikali ikaamua isi renew. Leo unaambiwa walipwe na si ajabu na capacity charge walipwe, ili mradi tu mabilioni walipwe mafisadi wa kitanzania kinyemela. Ila wafahamu kuwa Mungu wa mbinguni anawaona.
Kuleni kwa urefu wa kamba zenu, na kwa namna yoyote ile, ili muibe ni lazima kwanza mmuseme na kumponda magu, najiuliza Sjui hamuwezi kuiba tuu bila kumponda!!Tuwashukuru wenye kampuni,maana wangeshitaki kipindi chake namna angelisimamia ingetukosti zaidi
Na imekuwa kawaida yao kumsema vibaya kwanza JPm ndio waibe! Hivi hawawezi kuiba tuu bila kumwingiza huyu shujaa kwenye kashifa zao hizo!Ilikuwa lazima capacity charge irudi. Wafaidika wakubwa sio wazungu ni mafisadi wa kianzania. Kila mtu aliona mgao wa Ruge na waliofaodika, wale waliopokea kutoka Standard Chartered waliwekwa siri kwa sababu ni wakubwa mno. Makamba kasema wazi kuwa CCM ilichukuliwa na wasio wenyewe. Magufuli amekufa wenye CCM wanatawala. Wana uwezo wa kuhakikisha chochote kinafanyika ili warudie ulaji wao. Mkataba wa Simbio ulifika mwisho na serikali ikaamua isi renew. Leo unaambiwa walipwe na si ajabu na capacity charge walipwe, ili mradi tu mabilioni walipwe mafisadi wa kitanzania kinyemela. Ila wafahamu kuwa Mungu wa mbinguni anawaona.
Yule kichaa ni Bora alikufa mapema, maana sielewi tungekuwa tumefika wapi sasa kama nchi. Nahisi tungekuwa kama Zimbabwe.Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Pia soma
Mitambo ya Umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae tangazo rasmi limebandikwa la kupigwa minada mitambo yake. Ikumbukwe mitambo hiyo ilizulinduliwa na...www.jamiiforums.com
Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?
𝙷𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! 𝙼𝚒𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚊𝚍𝚑𝚊𝚊 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚠𝚊𝚠𝚊𝚔𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚞𝚗𝚒 𝚢𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚗𝚊 𝙱𝚊𝚕𝚘𝚣𝚒 𝚠𝚊 𝚄𝚂𝙰 𝚗𝚌𝚑𝚒𝚗𝚒 𝚃𝙰𝙽𝚉𝙰𝙽𝙸𝙰 𝚑𝚞𝚔𝚞 𝚒𝚔𝚒𝚍𝚊𝚒𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚒𝚞𝚣𝚒𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚖𝚎 𝚃𝚊𝚗𝚎𝚜𝚌𝚘 𝚞𝚝𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚊 2024, 𝙼𝚍𝚊𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚗𝚒𝚙𝚎𝚗𝚢𝚎𝚣𝚎𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚐𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚒...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua hiyoYule kichaa ni Bora alikufa mapema, maana sielewi tungekuwa tumefika wapi sasa kama nchi. Nahisi tungekuwa kama Zimbabwe.
Watanzania wajinga walikuwa wanampongeza anapovunja mikataba ambayo watangulizi wake waliingia. Alivunja kwa hisia tu kuwa waliotangulia wamemepokea mlungura.
Hamna namna lazima haya madeni ya Symbion na madeni mengine yote yalipwe. Short of that tutapata usumbufu kama tulivyosumbuliwa na Mkulima Hermanus Steyn na ndege za ATCL
Alivurunda,akijifanya kujua na roho yake mbaya akawavuruga wafanya biashara,2018 Kodi ikawa shida,akawaita mwenyewe ikulu,matrilioni yakapotea yasijulikane yalikoenda,akamsakama cag akamfukuza kinyume Cha Sheria..alikua mvurundaji,nchi ilipata ajali ya kitawalaKuleni kwa urefu wa kamba zenu, na kwa namna yoyote ile, ili muibe ni lazima kwanza mmuseme na kumponda magu, najiuliza Sjui hamuwezi kuiba tuu bila kumponda!!