Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Kuuvunja mkataba na option ya kuendelea na mkataba ipo ilikua ina ugharimu taifa kindezi?
 
Kwani hawakutoa huduma waliyokubaliana kwenye mkataba?
Kuna kipindi ilikuwa ni kawaida na haki ya mtu kumiliki mtumwa aliyeuzwa baina ya Muuzaji na Mnunuzi (kwa makubaliano)...., Kwahio unaona sababu ilikuwa sawa kisheria mpaka leo tungeendeleza Utumwa (au hiyo Biashara ya kuuza mtu ilikuwa ni sawa sababu tu ya Mikataba ) ?

Kama vipi waende wakawapige pingu na kuwafilisi wale wote walio-sign hio mikataba ili kufidia pesa zao...
 
Huu no upigaji mwingine wa wazi dah,Makamba unatupiga wazi wazi bila huruma ndugu yetu.Samia huyu wa nini?
 
Hilo halipo,mikataba ilisainiwa kwa niaba ya Nchi na huduma ilitolewa kwenye Nchi na sio mtu au kampuni binafsi .

Hakuna sarakasi lipeni deni maisha yaendelee..

Ningekuwa mimi ningenyooka na aliyevunja mkataba akakuza hasara yenye fine juu.Kwani wangesubiria mkataba uishe kulikuwa na shida gani?
 
Afadhali haukuwa wewe..... Pili nimegundua uanvyoongea lipeni deni huelewei kwamba halipi jamaa fulani au kiumbe lidubwasha fulani bali ni wewe mimi na vizazi vinavyokuja... eti kwani wangesubiri mkataba uishe kungekuwa na shida gani, kwahio uozo wote unaofanywa sasa kwa siri huko mbeleni tukuigundua kwamba hauna maslahi kwa faida tuendelee nao mpaka uishe ? Yaani tumuwajibishe anayetaka kuondoka nao na sio yule aliyeuleta ?

Unless una hisa kwenye huu ulaji sioni ni vipi mtu anaweza kuona this is okay....
 
Haijalishi nalipa mimi au wewe,nachosema huo unaoita uozo kama mkataba usingevunjwa pesa ya kulipa isingekuwa sawa na hii inayotakiwa kulipwa kwa wapumbavu kuvunja mkataba bila kufikiria na kufanya calculation..

Waliovunja mkataba kinguvu bila kutumia akili ndio wawajibishwe kwa uzembe huu.
 
Hakuwa na akili yule ndezi ndio katuletea hasara hizi..
We kiriboto, mimi na wewe hatutapatana mpaka utawala wenu wa kula Kwa kamba ndefu uishe, tafadhari usini Quote jumbe zangu zote ili Uzi ulioshikilia heshima ndogo kati yako na Mimi usikatike kabisa!

Kwa tarifa yako, nami pia ni ccm,
Tafadhali mkuu,
 
We mpumbavu! Mimi na wewe hatutapatana mpaka utawala wenu kula Kwa kamba ndefu uishe, tafadhari using Quote jumbe zangu zote ili Uzi ulioshikilia heshima ndogo kati yako na Mimi usikatike kabisa!

Tafadhali mkuu,
Mpumbavu ni baba yako aliyekuzaa wewe fala..

Ntakuqourte na huna cha kunifanya,siwezi acha unapotosha humu na mapovu yako ya kisenge..

Kafe na wewe Chato tutakushukuru kama tulivyoshukiru alivyokufa yule mjinga asiye na akili unaemshabikia.
 
Shujaa ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ..Mashujaa wako Ikulu,humuoni Putin na Samia etc?

Tatizo mnatumia misuli na nyama za kwenye buttocks badala ya ubongo.

Yaani wewe usinisikitikie mimi bali msikitikie aliyekuzaa ukakosa aki
Nakuuliza, Babu yako aliyekufa ni shujaa!!?
 
N
Ni kweli hapo ndipo mwendazake alipokosea na huenda ndipo ilipomsababisha ashindwe kutimiza malengo yake !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ