Alafu tumpe nani madaraka? Huko upinzani wengi wapo kwenye "line" zao! Labda tuombe watokee wazalendo wengi from within wavuruge hiyo chain.Ifike mahali tukubaliane CCM basi sasa.
Watuue, watufunge n.k lkn tuamue jamani kwa ustawi wa taifa hili.
Hahahah si mliwahi kusema Kitengo ndio kinafanya vetting mara sijui Rais anatafuta tokea akiwa sekondari na kwamba upinzani hauwezi kupewa nchi sababu tunatumika na mabeberu!!Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Kweli kabisa !!Alitubu kwa wananchi... wenzake walipomsikia akitubu walimkasirikia na kumtishia vibaya... akarudi kutubu tena kwao...
Lesson from Ndugai...
Huwezi kutubu toba ya kweli alafu ukatubu kukanusha ukawa salama!
Mambo yapo kisheria usipolipa itafika mpka ICC huko au ICSID mshuke ratings za investor confidence.Alafu hii kulipa CAG ameshauri tulipe haraka sana kuepusha riba zaidi [emoji2960]
Line za nani? Mbona walifilisiwa na wengine kumiminiwa risasi wangekua na back up ya mafisadi wa CCM wangeteswa vile?Alafu tumpe nani madaraka? Huko upinzani wengi wapo kwenye "line" zao! Labda tuombe watokee wazalendo wengi from within wavuruge hiyo chain.
Jamaa mmoja alipata kusema " Teach me the rules I will show you how to break them !! Mambo ni Abrakadabra !! Dunia inaenda mbio sana !! Russia na NATO tunawasubiri mfanye jambo lenu ili tukae sawa !!Mambo yapo kisheria usipolipa itafika mpka ICC huko au ICSID mshuke ratings za investor confidence.
Ukivunja mkataba kwa mihemko ndio changamoto hiyo. Hata makocha wa Mpira akitimuliwa kisa timu inafungwa sana lazima umlipe tu hakuna namna.
Haya yote yamesababishwa na usiri wa mikataba na huyo JPM alitutoa Open Governance Initiative imesababisha mikataba isiwekwe bungeni kama Sheria ya TEIT inavyotaka.
Then madhara yake yakitokea lawama kwa Mama Samia?? Kwani bungeni si CCM watupu kwanini msipinge huko? Mahakama imejaa makada wa CCM kwanini wasiweke zuio?
Get real
Hata wewe tu, lkn CCM haina uhalali wowote kwa sasa ndie adui namba moja wa watanzania.Alafu tumpe nani madaraka? Huko upinzani wengi wapo kwenye "line" zao! Labda tuombe watokee wazalendo wengi from within wavuruge hiyo chain.
Hii remote jamani haina uchungu na nchi yake,lakini mwisho wa yote wataondoka na sanda tu, sasa tujue kwanini hawa wahuni walikuwa wanampiga vita mwendazake!Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 mara baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni ya iliyokuwa ya kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifungukiwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati uo Mh Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Pia soma
Mitambo ya Umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae tangazo rasmi limebandikwa la kupigwa minada mitambo yake. Ikumbukwe mitambo hiyo ilizulinduliwa na...www.jamiiforums.com
Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?
𝙷𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! 𝙼𝚒𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚊𝚍𝚑𝚊𝚊 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚠𝚊𝚠𝚊𝚔𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚞𝚗𝚒 𝚢𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚗𝚊 𝙱𝚊𝚕𝚘𝚣𝚒 𝚠𝚊 𝚄𝚂𝙰 𝚗𝚌𝚑𝚒𝚗𝚒 𝚃𝙰𝙽𝚉𝙰𝙽𝙸𝙰 𝚑𝚞𝚔𝚞 𝚒𝚔𝚒𝚍𝚊𝚒𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚒𝚞𝚣𝚒𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚖𝚎 𝚃𝚊𝚗𝚎𝚜𝚌𝚘 𝚞𝚝𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚊 2024, 𝙼𝚍𝚊𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚗𝚒𝚙𝚎𝚗𝚢𝚎𝚣𝚎𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚐𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚒...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipoona Februari kateuliwa tena kuwa waziri wa kawi na bodi mpya akiwemo yule mama wa kampuni ya uwakili nikajua tayari kazi ya remote Born town imeanza shughuli. Muda si mrefu tutasikia Singa singa arudishiwe kampuni yake na pesa Born town anatupeleka siko.Ili wajustify wizi lazima wamtaje Magufuli.
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Tutajuta kuwafahamu.Nilipoona Februari kateuliwa tena kuwa waziri wa kawi na bodi mpya akiwemo yule mama wa kampuni ya uwakili nikajua tayari kazi ya remote Born town imeanza shughuli. Muda si mrefu tutasikia Singa singa arudishiwe kampuni yake na pesa Born town anatupeleka siko.
You are very right. Iwe kama Angola. Otherwise tumekwisha.Alafu tumpe nani madaraka? Huko upinzani wengi wapo kwenye "line" zao! Labda tuombe watokee wazalendo wengi from within wavuruge hiyo chain.
Ndio sababu watu wanataka katiba mpya. Itatuongoza namna nzuri ya kupata viongozi na namna nzuri ya kuwatoa wakiboronga. Refer to S/Africa.Alafu tumpe nani madaraka? Huko upinzani wengi wapo kwenye "line" zao! Labda tuombe watokee wazalendo wengi from within wavuruge hiyo chain.
Wa makinikia mbona wanapiga kazi tangu jamaa yako hajafa,hamfuatilii Mambo shida yenu,yule jamaa hakufuata utawala wa Sheria,inatukostiHawa watu wanatafuta jinsi ya kutupiga tu kisa Magufuli na baadae wa makinikia watarudi