MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Ipo siku tunaotukanana humu tutaimba wimbo mmoja! Wajukuu zetu watatu address kama akina Chief Mangungo.
Kama chama chao wenyewe walijimilikisha mali itakuwa rasilimali za umma? Hizi fedha zinazunguka alafu zinarudi kwa walewale waliohodhi na wanaoona hii nchi ni yao wenyewe!
Tuendelee kutafuta ugali, mambo mengine huwezi kupata jibu leo wala kesho. Endeleeni kutukanana hadi siku utapojua ulikuwa unajitukana mwenyewe.