mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Sawa...na uteuzi viongozi ufanyikeTuache vyombo vya dola vifanye kazi yake.
Kimakini sana
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...na uteuzi viongozi ufanyikeTuache vyombo vya dola vifanye kazi yake.
Hata Vikikosea tukae kimya yaani tusihoji binadamu anaweza sabisha changamoto Kwa kutokujua ama kwa makusudi, uzembe na ujingaTuache vyombo vya dola vifanye kazi yake.
Edit thread Mkuu maana umesahau kuandika namba za simuNdugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma.
Ameyasema hayo katika uwasilishaji wa Gawio na michango kutoka katika mashirika na taasisi mbalimbali za umma mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Amesema kuwa mfumo huo utakuwa na kazi na wajibu au jukumu la kutoa taarifa za kiutendaji kwa kila kiongozi kwa usahihi,kwa uaminifu na kwa wakati kwa mamlaka za uteuzi, Ili kusaidia mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi.
Akatolea mfano kuwa kuna wakati kuna kiongozi aliondolewa katika nafasi yake na baadaye kurudishwa tena baada ya Mwenyekiti wake kutoa maelezo mazuri yaliyoonesha kuwa mhusika alikuwa amefanya kazi nzuri katika nafasi yake.
Mheshimiwa Nehemia Mchechu ameomba radhi Kwa Mheshimiwa Rais kuwa wao kama hazina walimuangusha Mheshimiwa Rais, na ndio maana wameamua kujisahihisha kwa kuja na mfumo huo utakao kuwa muarobaini na msaada kwa mamlaka ya uteuzi kufanya uteuzi na maamuzi sahihi ,kwa kuangalia na kusoma taarifa zenye ukweli na usahihi juu ya utendaji kazi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na mashirika ya umma.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wala usijali.endelea kuwa na imani na Mheshimiwa Rais wetu maana ni mama Msikivu sanaSawa...na uteuzi viongozi ufanyike
Kimakini sana
Ova
Nimeacha nafasi ili uweke namba yako ndugu yangu.Edit thread Mkuu maana umesahau kuandika namba za simu
Sawa ila habari ndiyo binti katolewa samadi 😄 na rcWala usijali.endelea kuwa na imani na Mheshimiwa Rais wetu maana ni mama Msikivu sana
Amesahau kumtaja underdog muhun wa Lumumba aliyepewa shirika nyeti. The file ilipenyezwa mama akamwaga winoNdugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma.
Ameyasema hayo katika uwasilishaji wa Gawio na michango kutoka katika mashirika na taasisi mbalimbali za umma mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Amesema kuwa mfumo huo utakuwa na kazi na wajibu au jukumu la kutoa taarifa za kiutendaji kwa kila kiongozi kwa usahihi,kwa uaminifu na kwa wakati kwa mamlaka za uteuzi, Ili kusaidia mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi.
Akatolea mfano kuwa kuna wakati kuna kiongozi aliondolewa katika nafasi yake na baadaye kurudishwa tena baada ya Mwenyekiti wake kutoa maelezo mazuri yaliyoonesha kuwa mhusika alikuwa amefanya kazi nzuri katika nafasi yake.
Mheshimiwa Nehemia Mchechu ameomba radhi Kwa Mheshimiwa Rais kuwa wao kama hazina walimuangusha Mheshimiwa Rais, na ndio maana wameamua kujisahihisha kwa kuja na mfumo huo utakao kuwa muarobaini na msaada kwa mamlaka ya uteuzi kufanya uteuzi na maamuzi sahihi ,kwa kuangalia na kusoma taarifa zenye ukweli na usahihi juu ya utendaji kazi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na mashirika ya umma.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndio maana kuna kitu kinaitwa kujisahihisha.Amesahau kumtaja underdog muhun wa Lumumba aliyepewa shirika nyeti. The file ilipenyezwa mama akamwaga wino
Hii nayo Ina justification gan
Kujisahihisha kwenye mambo ya msingi? A mistake that has repeated is not a mistake bali ni internal weakness na inadequately supervisionNdio maana kuna kitu kinaitwa kujisahihisha.
Tatizo wala si mfumo, ni hao watakaokuwa nyuma ya huo mfumo. Kama ni hawa hawa hakuna kitakachobadilikaKwanini sasa hivi taarifa za wateule zinahifadhiwa na nini?
Ukitaka kuangalia mafaili ya mtu unayetaka kumteua unaangalia wapi?
Ndugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma.
Ameyasema hayo katika uwasilishaji wa Gawio na michango kutoka katika mashirika na taasisi mbalimbali za umma mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Amesema kuwa mfumo huo utakuwa na kazi na wajibu au jukumu la kutoa taarifa za kiutendaji kwa kila kiongozi kwa usahihi,kwa uaminifu na kwa wakati kwa mamlaka za uteuzi, Ili kusaidia mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi.
Akatolea mfano kuwa kuna wakati kuna kiongozi aliondolewa katika nafasi yake na baadaye kurudishwa tena baada ya Mwenyekiti wake kutoa maelezo mazuri yaliyoonesha kuwa mhusika alikuwa amefanya kazi nzuri katika nafasi yake.
Mheshimiwa Nehemia Mchechu ameomba radhi Kwa Mheshimiwa Rais kuwa wao kama hazina walimuangusha Mheshimiwa Rais, na ndio maana wameamua kujisahihisha kwa kuja na mfumo huo utakao kuwa muarobaini na msaada kwa mamlaka ya uteuzi kufanya uteuzi na maamuzi sahihi ,kwa kuangalia na kusoma taarifa zenye ukweli na usahihi juu ya utendaji kazi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na mashirika ya umma.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nashukuru kwa maoni yao mazuri na yenye dhamira njema kwa ustawi wa Taifa letu.Look , CCM mnatakiwa kuwa na AKILI. Hizo ni nafasi za Umma na sio nafasi za Samia au any body else, Nafasi za Uteuzi zinatakiwa kufuata taratibu za Uajiri.
Nafasi za Uteuzi zinatakiwa kutangazwa na watanzania wenye Sifa wanawasilisha maombi, na kunakuwa na independent committe ya interview kuangalia Qualification na meritocracy ya kila mmoja pamoja na competence based on area of expertise na management skills or leadership skills.
Baada ya Written na Oral interview with all that , Top 3 candidates wanakuwa picked up for vetting na presidential appointments.
Timu ya state chini ya mamlaka ya Uteuzi itafanya thoroughly review na kupropose only one name with specific reasons among 3 candidates.
Hao wawili kwa kufikia hiyo hatua, wanaweza kuwa reserved au wakatafitiwa maeneo mengine ya kusimamia.
Mkifanya hivyo mtaona mambo ya kuchomekewa wahuni au kuwa na incompetence kama yatakuwepo.
TEUZI zenu za sasa ni connection na Uchawa ndio maana mashirika ya Ummq yanakufa. Mabogus yenye uwe wa kujipendekeza na uchawa ndio wanakuwa endorsed kusimamia taaisis.
Kwa mfano Shirika kama la NHIF, lina opportunity nyingi za kuboresha huduma za Afya kwa watanzania, but je CEO wa sasa anazo skills ? Ana innovative brain , mtu wa accounting anaenda kusimamia shirika la Afya linalotakiwa kuhudumia watu mil 60. Ni aibu kwa karne ya sasa kuna watanzania hawana bima ya Afya .
Weken nafasi za uteuzi kwenye mchakato wa ajira na wenye Sifa wapqmbane. We don’t need connection kwenye maeneo ya msingi. Tunahitaji competence
Kuna utaratibu unafanyika kabla ya kufanya uteuzi wa Mwisho.ikiwa ni pamoja na kupitia wasifu wa mhusika na uwezo wake wa kiuongozi na historia yake ya kiutumishi na kiutendaji katika maeneo ambayo amewahi kufanya kaziMfumo mzuri ni wa interview watu post kubwa aombe na interview zifanyike open kwenye post kubwa kwenye Tv live
Huu utaratibu wa kuteua watendaji wakuu vyumbani uishe
Lukaaaa 😂😂😂 msemaji wa serikali ya mazaNdugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma.
Ameyasema hayo katika uwasilishaji wa Gawio na michango kutoka katika mashirika na taasisi mbalimbali za umma mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Amesema kuwa mfumo huo utakuwa na kazi na wajibu au jukumu la kutoa taarifa za kiutendaji kwa kila kiongozi kwa usahihi,kwa uaminifu na kwa wakati kwa mamlaka za uteuzi, Ili kusaidia mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi.
Akatolea mfano kuwa kuna wakati kuna kiongozi aliondolewa katika nafasi yake na baadaye kurudishwa tena baada ya Mwenyekiti wake kutoa maelezo mazuri yaliyoonesha kuwa mhusika alikuwa amefanya kazi nzuri katika nafasi yake.
Mheshimiwa Nehemia Mchechu ameomba radhi Kwa Mheshimiwa Rais kuwa wao kama hazina walimuangusha Mheshimiwa Rais, na ndio maana wameamua kujisahihisha kwa kuja na mfumo huo utakao kuwa muarobaini na msaada kwa mamlaka ya uteuzi kufanya uteuzi na maamuzi sahihi ,kwa kuangalia na kusoma taarifa zenye ukweli na usahihi juu ya utendaji kazi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na mashirika ya umma.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utasimamiwa na watanzania wazalendo ambao watawajibika kutoa taarifa za ukweli,sahihi na kwa uaminifu mkubwa sana kwa mamlaka ya uteuzi.Labda kama utasimamiwa na na kuendeshwa na watu kutoka sayari ya Jupiter
Mimi siyo msemaji wa serikali bali ni mkulima wa kawaida tu ninayefurahishwa na uchapakazi wa Rais Samia na serikali yake pamoja na uzalendo wa Rais wetu kwa Taifa letu.Lukaaaa 😂😂😂 msemaji wa serikali ya maza