Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah Manyoka nyoka tu! Makamba bwana taahira kweli!Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Hiyo timu ipo kazini kuiba, tatizo la umeme wamelibuni wao na wanataka kulitatua wao. Watanzania wanatakiwa wafanye maamuzi magumu.Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Bila shaka utakuwa mradi wa kukarabati miundombinu iliyopo!Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Yule swahiba wake aliyeuza gas kule Mtwara anataka kutuvurugia mstakabali wa nchi, naye alikuja kihivi matokeo gas imeota mbawaWaziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Ilipofika ikakuta kumbe gati/gata zilijengwa kwa substandard.....🙄🙄Kwani Crane imeshanunuliwa?
Crane imeshakuja, Ila pale pa kutumia anasema pamejengwa chini ya kiwangoKwani Crane imeshanunuliwa?
Mradi wa kukarabati miundombinu una thamani kubwa kuliko mradi wa kufua umeme? Hii kweli bongoBila shaka utakuwa mradi wa kukarabati miundombinu iliyopo!
Hii inasikitisha sana, kama wataalam tunao, contracts tunao, wakaguzi tunao, visibility study imefanyika, na wote wanalipwa....Crane imeshakuja, Ila pale pa kutumia anasema pamejengwa chini ya kiwango
Kifupi huu mradi hawautaki, na sioni sababu ya kuendelea nao ikiwa hawautaki. Waje na mradi wanaoutaka, ili hivi visingizio visiwepoHii inasikitisha sana, kama wataalam tunao, contracts tunao, wakaguzi tunao, visibility study imefanyika, na wote wanalipwa....
Hivi kwanini haya mambo hayatokei huko nchi zilizo endelea...??
Huu upuuzi tusiukubali kama taifa... hawa watu hawafai kwa maslahi ya taifa. Ni watu sijui wa namna gani hawa..Yani bwawa la Nyerere litelekwezwe,? Bwawa limeliziwe,.huu ujinga ufikie kikomo.