Mradi upi huo?
Mradi pekee utakaotatua tatizo la umeme Tanzania ni Julius Nyerere Hydropower Project. Huu ukijumlisha na miradi ya gesi ya kinyerezi, itakuwa ni suluhisho la kudumu la uhaba wa umeme nchini, wakati huo huo, mpango mkakati wa muda mrefu ukiwa Power Sufficiency kwa kuweka emphasis zaidi kwenye CHEAP SUSTAINABLE POWER GENERATION. Hii ni Afya both kwa local economy pamoja na kuvutia wawekezaji wa nje hususani viwanda vikubwa vinavyohitaji umeme mwingi lakini wa bei nafuu.
Kinyume na hapo ni matumizi mabaya ya rasilimani fedha yatakayozidi kuongeza madeni na mwisho wa siku gharama kubwa kwa wananchi.
Unreliable Power Supply means inefficient overall economy.