Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unatetea ufisadi au mahaba tu yamezidiShida yako wewe ni nini hasa? Unachotaka mradi utatue changamoto au Una nongwa zako?
Sukuma geng ni neno la kinafiki lililoanzishwa na mafisadi, vyeti feki, wavivu, timu gaidi lenye lengo la kumchafua magufuli kwa chuki na hilaSukuma gang wanahangaika kuonyesha Kalemani alifanya kazi, alikuwa anafanya utapeli tu na hatarudi, hata uzalishe umeme kiasi gani, kama hauna miundombinu ya kuufikisha kwa wateja ni kazi bure, kwa Sasa lazima kazi maalum ifanyike kulifuta kundi la sukuma gang na mawakala wake, nashauri Idara za usalama zijipe miaka kumi au ishirini kufuta kabisa kundi hili linalohatarisha usalama wa nchi na utangamano. Dola haijawahi kushindwa na itawadhibiti na kuwafuta wote
Huo mradi wa bwawa ulikuwepo kabla ya gesi tokea enzi za Nyerere, walikuwa wana upotezea Magu akaamue aendeleze idea za Nyerere sababu umeme wa maji ni cheap kuliko wa gesi.Kama mradi wa umeme wa gas Magufuli aliupotezea na tukakaa kimya, hawa wengine watashindwa vipi kuutelekeza huu wakwake wa maji? Ingekuwa wanakaa madarakani kwa box la kura wangeogopa wananchi, lakini hii ya kukaa madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola watafanya watakalo. Bila machafuko hatuwezi kurudi kwenye mstari.
Hujui kitu Inawezekana ulikuwa sehemu ya mate so ya watu, watu wamefilisiwa mifugo yao. Njoo karagwe uone mazizi ya ngo'mbe za dhuruma.wewe hiyo miaka mitano ulipigwa wapi na uliibiwa nini!
Wrong msg mkuuDuuh
Kwahiyo mkuu unataka kutuambia kuwa system imeamua Makamba awe ??
Hahaaaa mkuu usinitukane sio maneno yangu ni maneno ya mzee makamba miezi michache baada ya kifo cha JPM.Huu ndo muda wa kulamba asaliHuo ubongo ni mzigo kichwani
Ufisadi upi huo?Kwa hiyo unatetea ufisadi au mahaba tu yamezidi
Huo mradi wa bwawa ulikuwepo kabla ya gesi tokea enzi za Nyerere, walikuwa wana upotezea Magu akaamue aendeleze idea za Nyerere sababu umeme wa maji ni cheap kuliko wa gesi.
Gesi yenyewe haieleweki wakati inazinduliwa tuliambiwa umeme utashuka bei matokeo ni vice versa.
Makamba ikiwezekana aseme tu haendelei na ujenzi wa bwawa la umeme, awalipe wakandarasi hela yao wanayo idai, lile bwawa tulitumie kama makumbusho fulani ili tukafanye utalii tupige picha na familia zetu waendelee kula kwa urefu wa kamba zao.
Then yy aendelee kufanya atakachi kwani nchi wameishiaka wao na baba zao.
Punguza mahaba mtoto wa kiume.Magufuli alipoutupilia mbali mradi wa gesi uliitisha kumkataaa??.
Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Swali simple tu project ya bwawa la Nyerere haizidi 5tn ,project hiyo gesi ambayo uchumbaji wake ni 70tn hapo hatujaja kwenye gharama za kuichakata hiyo gesi ,sasa ww unazani 5tn na 70tn ipi kubwa na ipi inalipika kirahisi? Na huyo atakaye chimba anarudisha vipi 70tn na kwa muda upi?Kabla ya umeme wa gas tulikuwa tunatumia umeme wa maji, mbona hatukuwa nchi yenye umeme bei rahisi hata kwa viwango vya East Africa? Kika anejenga project fulani anasema huduma hiyo itakuwa bei rahisi, lakini uhalisia ni tofauti. Kwa mikopo iliyokopwa, huo umeme wa maji ungekuwaje rahisi?
Ni mwendo wa kila mbuzi kula kulingana na urefu wa kamba yake! Mradi wa umeme wa Bwawa la mwalimu Nyerere ukikamilika utazuia ulaji uliozoeleka. Kwa hiyo lazima uwekwe pembeni kwanza watu wale!!Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Mkuu umeongea jambo la maana sana, kila anayekuja anakuja na mradi wake na uongo wake.Kabla ya umeme wa gas tulikuwa tunatumia umeme wa maji, mbona hatukuwa nchi yenye umeme bei rahisi hata kwa viwango vya East Africa? Kika anejenga project fulani anasema huduma hiyo itakuwa bei rahisi, lakini uhalisia ni tofauti. Kwa mikopo iliyokopwa, huo umeme wa maji ungekuwaje rahisi?
Hao wengine, wote sawa, ila Kalemani umepotea. Inaelekea humfahamu kiundani.Huyu kijana wamtoe Kalemani arudi au.Muhongo au hata Lukuvi
Huyu ni famba, bure kabisaa