Ushajiuliza huyo mwekezaji 70tn atairudisha vipi na kwa miaka mingapi? Huwezi fananisha hela ya kwako na ya mwekezaji,hela ya mwekezaji huwezi kuicontrol bei ataamua na kupanga yy gesi aiuze kwa shilingi ngapi.
Bwawa la Nyerere gharama zake sio 8tn,hata ikiwa 8tn je ni sawa 70tn ambayo hapo ni uchimbaji, bado hutengeneza miundo mbinu ya kuichakata hiyo mitambo, hapo bado kusambaza hayo mabomba, ikiwe mpaka kufika dar 1.3tn, vip kwa mikoa mingine bado hatuja zungumzia mitambo kuichakata hiyo gesi.