The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wewe ni mjinga mmja hivi, mwekezaji anazalisha LPG kwa matumizi ya ndani na hada exports.Ushajiuliza huyo mwekezaji 70tn atairudisha vipi na kwa miaka mingapi? Huwezi fananisha hela ya kwako na ya mwekezaji,hela ya mwekezaji huwezi kuicontrol bei ataamua na kupanga yy gesi aiuze kwa shilingi ngapi.
Bwawa la Nyerere gharama zake sio 8tn,hata ikiwa 8tn je ni sawa 70tn ambayo hapo ni uchimbaji, bado hutengeneza miundo mbinu ya kuichakata hiyo mitambo, hapo bado kusambaza hayo mabomba, ikiwe mpaka kufika dar 1.3tn, vip kwa mikoa mingine bado hatuja zungumzia mitambo kuichakata hiyo gesi.
Tzn itakuwa exporter wa gas na tutapata si tu mirahaba bali forex za kuzidi..
Sasa hili has nothing to do with Bwawa la Nyerere na upuuzi mwingine ulioandika hapa.