Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

Narudia tena, huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Mitambo sio yake, bali yeye anawekeza kwenye uchimbaji wa gas. Na huyo muwekezaji ameingia mikataba, akizingua hatua zinachukuliwa dhidi yake. Au unadhani ni suala la kuamua tu kuzuia gas?
Wewe ndio huna unacho kijua, wewe unazani huyo mwekezaji anafanya kazi ya kanisa, huna ubavu wa kucontrol hiyo mitambo, halafu unazani mzungu mjinga aweke 70tn halafu kwenye mkataba aweke terms za kijinga.
 
Kuhusu mwekezaji kuchukuliwa hatua tena hao wa gesi sahau.
Dowans tu pamoja na utapeli waliowafanyiaa tanesco, na mkataba ukavunjwa Ila mwisho wa siku Tanesco walilipa billion of money.

Kwa hiyo mikataba ya kificho hilo ni sawa, ila mkataba usio na hila wala maslahi binafsi kwa viongozi, hatua zinachukuliwa vizuri tu ndugu.
 
Kwani hiyo gas akichimba muwekezaji ndio serekali inapoteza control? Nani kakuambia serikali ikikontrol bei ndio inakuwa nafuu?
Nakubaliana na wewe serikali ikicontrol sio ndio kuwa na Bei nafuu.
Ila kuhusu mwekezaji serikali hii ya Tanzania hupoteza control 100%
Hilo wala halihitaji mjadala, iptl, symbion, Dowans hao wote tulikua hatuna control yoyote Tena wao ndio walikuwa na control dhidi yetu, walifikia hatua kwamba hata tukivunja mkataba tutaendelea kuwalipa.
 
Wewe ndio huna unacho kijua, wewe unazani huyo mwekezaji anafanya kazi ya kanisa, huna ubavu wa kucontrol hiyo mitambo, halafu unazani mzungu mjinga aweke 70tn halafu kwenye mkataba aweke terms za kijinga.
Hii nakubaliana na wewe, Dowans tu kampuni ya mfukoni tulikosa control Tanesco wakawa wanalipa pesa nyingi kila siku.
 
Kwa hiyo mikataba ya kificho hilo ni sawa, ila mkataba usio na hila wala maslahi binafsi kwa viongozi, hatua zinachukuliwa vizuri tu ndugu.
Mkuu hiyo mikataba sasa ndio haipo na haijawahi kuwepo.
Mikataba ya gesi ilipitishwa usiku tena kwa hati ya dharura.
 
Mradi upi huo?

Mradi pekee utakaotatua tatizo la umeme Tanzania ni Julius Nyerere Hydropower Project. Huu ukijumlisha na miradi ya gesi ya Kinyerezi, itakuwa ni suluhisho la kudumu la uhaba wa umeme nchini, wakati huo huo, mpango mkakati wa muda mrefu ukiwa Power Sufficiency kwa kuweka emphasis zaidi kwenye CHEAP SUSTAINABLE POWER GENERATION. Hii ni Afya both kwa local economy pamoja na kuvutia wawekezaji wa nje hususani viwanda vikubwa vinavyohitaji umeme mwingi lakini wa bei nafuu.

Kinyume na hapo ni matumizi mabaya ya rasilimani fedha yatakayozidi kuongeza madeni na mwisho wa siku gharama kubwa kwa wananchi.

Unreliable Power Supply means inefficient overall economy.
$1.9b ni sawa na TSH 4.4T
Najiuliza hii hela inatoka wapi au alikosea ni 1.9M.
 
Hiyo timu ipo kazini kuiba, tatizo la umeme wamelibuni wao na wanataka kulitatua wao. Watanzania wanatakiwa wafanye maamuzi magumu.

Kama polisi vile wanaojichunguza wenyewe

Hawa wanahitaji watu wa nje ya wizara ndio watoe rai ila sio wao
Wao wameshindwa na inabidi wakubali
 
Mradi wa kukarabati miundombinu una thamani kubwa kuliko mradi wa kufua umeme? Hii kweli bongo
Bomba la gesi tu toka mtwara hadi dar ilikua trillion 2 tu
Kufua tuu bila mifumo ya distribution itakusaidia nini? Naunga mkono hoja.
 
Magufuli alitoa sababu,kuwa gesi pamoja na kuwa yetu tunainunua kwa bei kubwa Maana iliisha uzwa zamani, Ndio Maana kaamua kuanzisha mradi mwingine wa kutupatia umeme wa kutosha tena kwa bei nafuu.Sasa hawa majambazi wanaturudisha kule tulikokuwa tuna pakimbia.Mungu atawapiga raana tu acha watuibie tu.
Na wewe unaamini utapata umeme Kwa bei nafuu? 😂😂.

Tanesco inakula losses afu upewe bei nafuu? Ni mjomba wako anazalisha?
 
Mradi upi huo?

Mradi pekee utakaotatua tatizo la umeme Tanzania ni Julius Nyerere Hydropower Project. Huu ukijumlisha na miradi ya gesi ya Kinyerezi, itakuwa ni suluhisho la kudumu la uhaba wa umeme nchini, wakati huo huo, mpango mkakati wa muda mrefu ukiwa Power Sufficiency kwa kuweka emphasis zaidi kwenye CHEAP SUSTAINABLE POWER GENERATION. Hii ni Afya both kwa local economy pamoja na kuvutia wawekezaji wa nje hususani viwanda vikubwa vinavyohitaji umeme mwingi lakini wa bei nafuu.

Kinyume na hapo ni matumizi mabaya ya rasilimani fedha yatakayozidi kuongeza madeni na mwisho wa siku gharama kubwa kwa wananchi.

Unreliable Power Supply means inefficient overall economy.
I am just thinking loud.Umeme utakao kuwa generated na Bwawa la Nyerere utategemea upatikanaji wa mvua.Tunajua kuna tatizo la Climate Change, na mvua inapungua kila kukicha,sio Tanzania tu,bali worldwide.Je,hili Bwawa halitakuwa a White Elephant huko baadae?Why didn't we invest in Thermal Electric Power instead.Was it an oversight or what.
 
Back
Top Bottom