Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,940
- 2,401
Mbona huo mpango hata huja uona halafu una upinga? Labda ni maboresho tu ya mipango iliyopo unajuaje?Magufuli alitoa sababu,kuwa gesi pamoja na kuwa yetu tunainunua kwa bei kubwa Maana iliisha uzwa zamani, Ndio Maana kaamua kuanzisha mradi mwingine wa kutupatia umeme wa kutosha tena kwa bei nafuu.Sasa hawa majambazi wanaturudisha kule tulikokuwa tuna pakimbia.Mungu atawapiga raana tu acha watuibie tu.