mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo hivyo kushamiri.
Aliyasema hayo naibu waziri wa maendeleo jinsia,wanawake,wazee na watoto,Mwanaidi Ali Khamisi , wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum (CCM), Mwantumu Zodo, akitaka kujua ni upi mkakati wa serikiali kukabiliana na vitendo vya ukatili vilivyoshamiri nchini dhidi ya watoto.
Akijibu swali hilo naibu waziri alilieleza bunge kua Muswada huo utasomwa katika mkutano wa bunge kwa mara ya kwanza . Amelifahamisha bunge kua mwezi Mei, mwaka huu serikali ilizindua mpango kazi wa taifa awamu ya pili wa kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na wanawake (MTAKUWWA11)
Pia soma: