Tetesi: Serikali Kumtoa 'Kafara' Mkurugenzi Korogwe kwa Kuiaibisha

Tetesi: Serikali Kumtoa 'Kafara' Mkurugenzi Korogwe kwa Kuiaibisha

Hiyo ni movie kuwapoteza Wamarekani maboya kwa kuwa baadae CCM watasema "chaguzi zote huwa ni chaguzi huru na haki,si mnaona wenyewe Mkurugenzi alitaka kuharibu uchaguzi wa Korogwe tukamshughulikia...sisi kama ccm tunapenda chaguzi za huru na haki"

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani siyo wajinga kama sisi huku. They have arleady seen the trick kabla hatujaona. Hizi sarakasi za kitoto zitawaponza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeza nyingine. Zipo nyingi tu mtandaoni, hii moja haitoshi.
Fisiem
FB_IMG_1534863354725.jpg
 
Huyo mkurugenzi ilifaa afikishwe mahakamani yeye pamoja na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,

Kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma,
Na mahakama itoe uamuzi huo mchakato uanze upya.
 
Back
Top Bottom