Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Haya maneno yake yatamgharimu sanaKauli ya rais ya kuwaambia watumishi hakuna neutral ndio, inayoharibu umoja wetu wa watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno yake yatamgharimu sanaKauli ya rais ya kuwaambia watumishi hakuna neutral ndio, inayoharibu umoja wetu wa watanzania
Weka nyingine, hii haitoshi.
Kama hiliWeka nyingine, hii haitoshi.
Ndio walewale mkuu 'remote from juu'Hivi yule mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ni Jaji kweli , au ndio wale wale akina Mutungi ?
hata tume ya uchaguzi,NEC,wanatekeleza yaliyopo kwenye ilani. Yaliyomo yamo,siyo yajayo tenaKama hiliView attachment 844685
Mbona picha moja tu? Weka hata elfu nne na mia tano sitini. Hii haitoshi.Kama hiliView attachment 844685
Duru za ndani zinasema kitendo cha Mkurugenzi Korogwe cha kutumia mbinu ya kukataa kupokea fomu akidhani mbinu hiyo itampa credit kinaelekea kumponza baada ya CUF Lipumba nao kuja na lawama zinazofanana na Chadema hivyo kuipa nguvu hoja ya msingi kuwa aliamua kufanya unyang'anyi wa wazi kuisaidia CCM.
Duru hizo zinasema kitendo hicho cha aibu kimewafedhehesha kwa namna ambayo wao hawakutaka I we hivyo kwani baada ya Ubalozi wa Marekani na washirika wao kuongeza kutupia macho chaguzi zetu na changamoto zinazotokea Uganda hali itakuwa mbaya zaidi kama kuweka chumvi kwenye kidonda.
Sikieni na kauli ya CUF Lipumba nayo muone DED Korogwe alivyo likoroga.
Sent using Jamii Forums mobile app